Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Ili kumtoa kwenye moody yake ya kuhamasisha 2604. Naona Makonda kamtafuta mdogo wake Mange na kupiga nae picha. Haahaaaa

Halafu kuna ndoa za kisiasa zinakuja kabla ya 2604.
Zimepangwa naona ili washabiki was Mange watoke kwenye reli ya 2604.

Alikiba kufunga ndoa karibuni. Hahaaaa..

Sikujua Mange anaisumbua hivi hii cerecali.
Mimi sielewi kwani kapiga picha na nani?? huyo bonge najua ni mdogo wa Mange. Sasa huyo mwingine ndo nani hasa?
 
Nilishangaa sana milipomsikia Musiba akidai eti Mange anatumiwa na kitengo cha Ujasusi cha Marekani.

Kitengo cha Ujasusi cha Marekani hakiwezi kumtumia mtu ambaye haeleweki eleweki kifikra (unsound mind)

Mtu ambaye kesho akiamka kivingine anaanza kutoa siri zote ulizompatia hawezi kamwe kutumiwa na taasisi makini kama CIA.

Kuna siku hata wanasiasa wa Tanzania wanaomtumia atakuja kuwaanika pamoja na mawasiliano yao.
unsound mind au soundness of mind ni “utimamu wa akili” na sio kutokueleweka ki fikra.
 
Hiyo Hotel ambayo Mange anaimiliki kwa 25% inaitwaje na ipo maeneo gani?
 
Back
Top Bottom