AKILI KIJIKO
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 405
- 589
Amewahonga nini hao FBI mpaka wampe ulinzi na Kila kitu?- Pure nonsense,
1. Mange anajua kabisa kua vita yake na Rose mama yake wa kambo inatokana na the fact kwamba Marehemu Baba yake hakumuandika kwenye urithi, ambao aliwaachia watoto wake 2 tu Anil na ndugu yake. Yeye hakuwemo ndio maana kwa hasira akamuibia Rose Mama yake wa kambo Dhahabu zake zote akakimbilia Marekani. So maneno ya kwamba ana 25% kwenye urithi ni uongo wa mchana sana kama kweli anao ushahidi angeshauweka wazi kama kawaida yake, so maneno ya 25% ni uongo.
2. Mange alitakiwa kuwa mkweli kwamba ameumia kwa sababu huyu kaka yake ndiye aliyekua anamuamini na anayemfanyia kazi zake chafu hapa bongo, kwa mfano Mange ana tabia ya kuwatingisha Wafanyabiashara wakubwa hapa mjini na Wanasiasa kwamba ana mafile yao atawaanika au wamlipe anyamaze, wanaomlimpa wote alikua anamtumia huyu dogo kumkusanyia pesa, so now anajua kwamba siri yake imejulikana kwa RC, ndio maana kaumia sio kwa sababu alizosema.
3. Mange habari zake zinafahamika, hivi karibuni alikua ameajiriwa kama dreva wa Texi za Uber, alikua dreva wa Taxi lakini UBER wakaja kugundua baadaye sana kwamba ana matatizo ya sheria na "ANGER MANEGEMENT" wakamfukuza kazi hapo hapo, so hana kazi anaishi kwenye Chumba kimoja ambacho watoto wake wakienda kumtembelea hulala nao humo humo. Watoto wake wanasoma Shule inaitwa Santa Monica Elementary School. Yeye Mange anaishi Englewood/LA karibu na Airport anachungwa na FBI kwa sababu hajavunja sheria za USA, lakini alipowatukana UNDP hapa Dar kwa mara ya kwanza aliwaa attract FBI na CIA, so kwa sababu hajavunja Sheria za USA wanamchunga wakisubiri kuona kama atavunja sheria za USA au kama kuna mtu kutoka nje anayetaka kumkamata. Anatumia namba za simu njia ya "Dummy Phones" ambazo zinasimamiwa na FBI.
4. Huu ndio ukweli kuhusu Mange hayo maneno ya mali na urithi ni uongo wa kitoto kabisa, Mange angekua na hizo mali asingeenda kuishi kule kwa dhiki kama anavyoishi sasa, najua kua she is the master of propaganda alipoona amenaswa kuhusu kaka yake akaamua kujikakamua kujifanya anamiliki Mali za MArehemu Kimambi ni uongo wa kitoto, wala hakuna kitu chochote kilichouzwa kwa Millioni 400 ni uongo, wala hakuna Hotel iula lipo gofu tu lina vyumba 3 vya wanaume wanaopigia wanawake fasta fasta na pembeni kuna kanisa la Walokole, hakuna hoteli wala Mansion ni uongo wa kitoto.
5. Mange ameamua kufuata njia ambayo imewashinda wengi kabla yake, Serikali ya Tanzania imechaguliwa na Wananchi haikujiweka, yalimshinda MArehemu Kambona, yaliwashinda kina Bibi Titi, na yaliwashinda kina Savimbi Angola. Hakuna binadam Duniani aliyewahi kushindana na Serikali akaishinda yoyote ile ya halali akaishinda, Carlos Imirez ndiye binadam peke yake aliyewahi kuisumbua Dunia nzima kwa muda mrefu sana lakini mwisho wake alikamatwa kama kuku amejificha Sudan leo yupo jela maisha.
6. Mange kwenye maisha tunavuna tulichpanda, so kubali matokeo na hizo ni rasha rasha tu habari kamili bado, kama wewe ulivyo na akili sana za kutukana watu na wao wana akili sana za kukutafuta na kujua watakuumizaje kama wewe unavyoumiza watu wasio na hatia. Usilalamike wenzako tunapokutana na matokeo ya matatizo tuliyojitafutia huwa tunyamaza na kubeba maumivu.
Thanks guys!
le Mutuz Super Brand
Amewashika pabaya mwaka huu mpaka mje kumkamata mtakuwa mnahemea mipiraa, simuungi mkono mange kwa yoote lakini mi namuona mange anawakumbusha mnapokosea achaneni na matusi yake someni weakness zenu kwake mzirekebishe mkifanya ivo mtawateka hata wafuasi wake lakini mkiendelea kubishana nae ataendelea kuwavua nguo na kufichua uozo wenu.