joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Vita ni vita kama yy anavyo waumiza wenzio kwa mambo mengine ambayo yapo natural mf kumcheka makonda kwa ugumba wake na wao wametafuta udhaifu wake ambao ni watu wafamilia yake,hii ishu ishamtoa kwenye reli japokuwa anajikaza (unapokuwa vitani usimuoneshe adui yako udhaifu wako).Sasa subira gazeti kutoka Mangi (mwanaharakati muoga) na msishangae kwenye kiti hizo hicho alichoka dogo kesho ndio kiti hicho hicho Mangi atakaa ,huku wakipiga story na Makonda ,swala muda.(Siasa sio ya kuichukulia serious sana,wakati wanasiasa wenyewe hawapo serious na maisha ya watanzania)