Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Hamuwezi kuwa na hali zinazofanana kila Mtu Duniani kaumbiwa lake huyo Beyonce ana lake na Wema ana lake
Wewe kama nyota yako ya masizi kupendwa na Moshi tuliza kipapa hicho
Acha kupanic kama mnatumia madawa msikamatwe na ndo mwaka wenu huu
 
Kwa hiyo kwenye kijiwe chenu cha gongo kumbe ndo huwa mnaongea hivi? Soree kumbe naongea na mnywa gongo ndio maana mawazo yako yamekaa kigongo-gongo. Am out
Acheni kutumia madawa mnatuharibia watoto wetu, then mkiambiwa ukweli mnaanza kupanic
 
Bila shaka wewe ni mwehu,hili ni jukwaa huru usilazimishe kila MTU achangie kwa namna unayoitaka wewe
Wewe ndo kichaa kabisa nilibisha hodi kwako kuja kukuomba uchangie ninavyotaka??
 
Itakuwa anatafuta starting point ya kuwakamata mapapa.....next week atawaita akisema wametajwa na baadhi ya wasanii waliokamatwa week iliyopita,he wants to play safe, it's like defence mechanisms towards watuhumiwa nguri watakaotajwa next time "ni mawazo yangu tu"
 
Huyu baba operesheni zake hazidumu kuanzia ombaomba hadi hii, anapenda kutajwa tu
 
Kama ushahidi upo, huyo wema afungwe tu;
wameharibu watoto wetu, wafungwe tu hakuna namna;
Makonda go, go, go. Mungu atakuwa pamoja na wewe.
Mimi haya maneno siyataki ...kwani wanalazimishwa kubwia madawa haya. Hata yasipouzwa litoto kama nilimchaluko litavuta hata majani ya maboga na litaheuka tu
 
Mtu anaemshabikia wema inabidi achunguzwe na yeye, makonda tunaomba na hili ulifanyie kazi
Isho -boy una vituko sana

Kuna comment yako inamhusu Ali kiba na yale mahojiano SA.. Kila nikikumbuka ulivyocomment mbavu zangu zinavunjika kwa kicheko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16] [emoji125] [emoji85]
 
Mange anakwambia TID anaishi kwa mamaake hata kodi ya chumba kimoja kupangisha kakosa...

Halafu mtu anasema mnyama anauza sembe[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…