Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Hasa ukizingatia habari kuu ilikuwa kuvurunda kwa jiji lake kwenye matokeo ya form four.
na manispaa ya ilala kwenye ofisi yake ndo wameweka shule 3 mwisho...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alichosema makonda ni wanasemekana na haijathibitika so ni haki yake kuwakata ili kuwahoj nankupata ukwel akiwa kama mwenyekit wa kamat ya ulinz na usalama

Ni tuhuma tu
Subiri siku ukituhumiwa kiholela kama hawa ndo akili itakurejea. Yako kwa mwenzako unaona sawa tu na unamshangilia mbrashi viatu. Iko siku hawakawii kuwageuka hata wewe utageukwa tu. Kwani Wema hakuwa mbele kwenye timu ya "mama mkanye mwanao"? Subiri zamu yako.
 
Kwani ni mara ya kwanza huku jf kutaja wema kuwa mbuya unga?
Kwanini hamkumshauri aache kama mlikuwa na uchungu naye?
Wewe umetajwa kwa mangapi mpk unapotea humu Jf kwa aibu? Unadhani hatuna kumbukumbu na matendo yako? Kati ya wanawake wasafi na wewe una sifa za kutoka mbele? Usitake tukuanike hapa! Kama una chuki binafsi na Wema peleka fb hapa Jf siyo mahali pa kuleta chuki za jikoni.
 
Kwani wema ni nani mpaka asituhumiwe?
Exactly,
Mifumo ya kulea ujinga ujinga ndio tunaharibu jamii.After all katuhumiwa kama atajieleza aeleweke si atakua huru.Yeye ni nani hadi asikamatwe.Hizi habari za ku entertain hawa wanaojiita "wasanii" inatuharibia jamii.
 
Acheni ushabiki usio na maana, mnashabikia wasanii mkifikiri wao ni malaika hawawezi fanya makosa, hamjui kuwa wengine huwa wanatumia kivuli cha umaarufu kufanya mambo maovu. kama kweli mna huruma mbona hamna hata mmoja anaye zungumzia askari walio tajwa kujiusisha na ngada mmebaki kuzungumzia wasanii heti wamechafuliwa majina askari walio simamishwa kazi hamuwaoni mnawaona tu wakina wema. acheni kufanya mambo kwa ushabiki.
Tumeliongea tangu Jana, na mchango wangu wa kwanza katika hili nilisema askari wasipomshtaki Makonda kwa madai watakuwa wamekiri kosa na ndo Leo haraka haraka bosi wao kawasimamisha Kazi na kuanzisha uchunguzi ili ionekane Polisi wanachunguzwa na Polisi wenzao na siyo agizo la Makonda.
 
Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?

Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.

Makonda hajui anachokifanya
Period
hayo yanaitwa mahaba niue.Dada ni bora ukae kimya uone chezo utakavyoishia,kwa nini hukuitwa wewe kaitwa Wema?
 
Nashindwa kuwaelewa watu wanaotetea hili.
Madon wa unga wapo na wanajulikana iweje uwaite watumiaji na kuwahoji?
Hivi mchovu kama TID anaweza kuwa anauza unga kweli?
Hahahah
Mambo ya Makonda ni vichekesho ila vichekesho zaidi ni wale wanaomuunga mkono kwa anachokifanya.
Sasa hao ma don utawakamata bila kutengeneza base ya ushahidi?....hawa mapunda ndio watawataja hao ma don...kwa ushahidi usiwe na haraka gem ndio kwanza imeanza
 
Exactly,
Mifumo ya kulea ujinga ujinga ndio tunaharibu jamii.After all katuhumiwa kama atajieleza aeleweke si atakua huru.Yeye ni nani hadi asikamatwe.Hizi habari za ku entertain hawa wanaojiita "wasanii" inatuharibia jamii.
Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?

Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.

Makonda hajui anachokifanya
Period
Inaonekana wewe ndio hujui unacho kifanya maana inaonekana hata sheria bado hauijui, you better ask.🙁🙁🙁
 
Makonda huwa sikubaliani na mikurupuko yake ila kwa hili namuunga mkono, sidhani kama Makonda amekaa chumbani kwake akaanza ku guess kama wema au TID au Nyandu wanahusika bali kuna mambo ya kutajwa hapo, yawezekana kuna wenzie na kina wema wamewataja huko kituoni, sasa kwanini asiitwe.
 
Yeye ana uchungu kuliko dada zake wema au mama ake, mbona wao hatujackia wakiongea popote
Unataka waje nyumbani kwako ndo ujue wameongea? Kwa hiyo unadhani wamekaa tu kimya bila kufanya chochote? Kama wao ndo wamekubaliana Msando ndo awasaidie je?
 
Unataka waje nyumbani kwako ndo ujue wameongea? Kwa hiyo unadhani wamekaa tu kimya bila kufanya chochote? Kama wao ndo wamekubaliana Msando ndo awasaidie je?
Naona unaongea kama umekunywa gongo, acha kupanic au na wew mmoja wao
 
Naona unaongea kama umekunywa gongo, acha kupanic au na wew mmoja wao
Kwa hiyo kwenye kijiwe chenu cha gongo kumbe ndo huwa mnaongea hivi? Soree kumbe naongea na mnywa gongo ndio maana mawazo yako yamekaa kigongo-gongo. Am out
 
Back
Top Bottom