MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Mwezi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]We nawe hebu kapige mswaki huko, kwa nyota ipi ya skendo zote chafu?? Sasa kama wema ana nyota Beyonce ana nin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwezi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]We nawe hebu kapige mswaki huko, kwa nyota ipi ya skendo zote chafu?? Sasa kama wema ana nyota Beyonce ana nin
na manispaa ya ilala kwenye ofisi yake ndo wameweka shule 3 mwisho...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hasa ukizingatia habari kuu ilikuwa kuvurunda kwa jiji lake kwenye matokeo ya form four.
Subiri siku ukituhumiwa kiholela kama hawa ndo akili itakurejea. Yako kwa mwenzako unaona sawa tu na unamshangilia mbrashi viatu. Iko siku hawakawii kuwageuka hata wewe utageukwa tu. Kwani Wema hakuwa mbele kwenye timu ya "mama mkanye mwanao"? Subiri zamu yako.Alichosema makonda ni wanasemekana na haijathibitika so ni haki yake kuwakata ili kuwahoj nankupata ukwel akiwa kama mwenyekit wa kamat ya ulinz na usalama
Ni tuhuma tu
Wewe umetajwa kwa mangapi mpk unapotea humu Jf kwa aibu? Unadhani hatuna kumbukumbu na matendo yako? Kati ya wanawake wasafi na wewe una sifa za kutoka mbele? Usitake tukuanike hapa! Kama una chuki binafsi na Wema peleka fb hapa Jf siyo mahali pa kuleta chuki za jikoni.Kwani ni mara ya kwanza huku jf kutaja wema kuwa mbuya unga?
Kwanini hamkumshauri aache kama mlikuwa na uchungu naye?
Exactly,Kwani wema ni nani mpaka asituhumiwe?
Tumeliongea tangu Jana, na mchango wangu wa kwanza katika hili nilisema askari wasipomshtaki Makonda kwa madai watakuwa wamekiri kosa na ndo Leo haraka haraka bosi wao kawasimamisha Kazi na kuanzisha uchunguzi ili ionekane Polisi wanachunguzwa na Polisi wenzao na siyo agizo la Makonda.Acheni ushabiki usio na maana, mnashabikia wasanii mkifikiri wao ni malaika hawawezi fanya makosa, hamjui kuwa wengine huwa wanatumia kivuli cha umaarufu kufanya mambo maovu. kama kweli mna huruma mbona hamna hata mmoja anaye zungumzia askari walio tajwa kujiusisha na ngada mmebaki kuzungumzia wasanii heti wamechafuliwa majina askari walio simamishwa kazi hamuwaoni mnawaona tu wakina wema. acheni kufanya mambo kwa ushabiki.
hayo yanaitwa mahaba niue.Dada ni bora ukae kimya uone chezo utakavyoishia,kwa nini hukuitwa wewe kaitwa Wema?Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?
Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.
Makonda hajui anachokifanya
Period
Sasa hao ma don utawakamata bila kutengeneza base ya ushahidi?....hawa mapunda ndio watawataja hao ma don...kwa ushahidi usiwe na haraka gem ndio kwanza imeanzaNashindwa kuwaelewa watu wanaotetea hili.
Madon wa unga wapo na wanajulikana iweje uwaite watumiaji na kuwahoji?
Hivi mchovu kama TID anaweza kuwa anauza unga kweli?
Hahahah
Mambo ya Makonda ni vichekesho ila vichekesho zaidi ni wale wanaomuunga mkono kwa anachokifanya.
Ile kukaa nao tu kuanzia Jana Adi Leo tayar wameshajua mtumiaj na ambae si mtumiaji.Maana arosto ya unga asikwambie MTU.Yani ukiwahoji ndio watakwambia kwamba wanajihusisha na dawa za kulevya?
Exactly,
Mifumo ya kulea ujinga ujinga ndio tunaharibu jamii.After all katuhumiwa kama atajieleza aeleweke si atakua huru.Yeye ni nani hadi asikamatwe.Hizi habari za ku entertain hawa wanaojiita "wasanii" inatuharibia jamii.
Inaonekana wewe ndio hujui unacho kifanya maana inaonekana hata sheria bado hauijui, you better ask.🙁🙁🙁Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?
Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.
Makonda hajui anachokifanya
Period
Msiwe wepesi kutapeliwa na wanasiasaKama ushahidi upo, huyo wema afungwe tu;
wameharibu watoto wetu, wafungwe tu hakuna namna;
Makonda go, go, go. Mungu atakuwa pamoja na wewe.
Unataka waje nyumbani kwako ndo ujue wameongea? Kwa hiyo unadhani wamekaa tu kimya bila kufanya chochote? Kama wao ndo wamekubaliana Msando ndo awasaidie je?Yeye ana uchungu kuliko dada zake wema au mama ake, mbona wao hatujackia wakiongea popote
Naona unaongea kama umekunywa gongo, acha kupanic au na wew mmoja waoUnataka waje nyumbani kwako ndo ujue wameongea? Kwa hiyo unadhani wamekaa tu kimya bila kufanya chochote? Kama wao ndo wamekubaliana Msando ndo awasaidie je?
Sasa Beyonce utajifananisha na wewBeyonce ana nyota pia[emoji4]
Mkuu Mitaa ya Sinza mpaka Victoria unaweza kulia okiona vijana walivyoharibikiwa.Wafungwe tu tumechoka na ngada mtaani
Kwa hiyo kwenye kijiwe chenu cha gongo kumbe ndo huwa mnaongea hivi? Soree kumbe naongea na mnywa gongo ndio maana mawazo yako yamekaa kigongo-gongo. Am outNaona unaongea kama umekunywa gongo, acha kupanic au na wew mmoja wao