Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Acha wafugwe tu hawa walitukosesha ushindi kisa kushabikia dubwashaaa ccm .. wengine wataajifunza kuwa tunahitaji ukombozi wa mara ya pili ..
 
Sasa yeye si anamtetea mtu wake? Kwa hiyo wewe ukiona mwanao anateketea kwenye moto utasubiria mpaka zimamoto si unamtoa wako?
Yeye ana uchungu kuliko dada zake wema au mama ake, mbona wao hatujackia wakiongea popote
 
Kwa hiyo hana fiscal or political powers
Fiscal ipo kwa madiwani katika entity husika, be it District, Municipal or City Council. Political power anaweza kuwa nayo kupitia mlango wa nyuma-remember kwa CCM yeye ni mjumbe muhimu kwenye kamati ya siasa ya mkoa ya chama. So anaweza ku-influence political decisions nyingi katika mkoa
 
We nawe hebu kapige mswaki huko, kwa nyota ipi ya skendo zote chafu?? Sasa kama wema ana nyota Beyonce ana nin
Hamuwezi kuwa na hali zinazofanana kila Mtu Duniani kaumbiwa lake huyo Beyonce ana lake na Wema ana lake
Wewe kama nyota yako ya masizi kupendwa na Moshi tuliza kipapa hicho
 
Fiscal ipo kwa madiwani katika entity husika, be it District, Municipal or City Council. Political power anaweza kuwa nayo kupitia mlango wa nyuma-remember kwa CCM yeye ni mjumbe muhimu kwenye kamati ya siasa ya mkoa ya chama. So anaweza ku-influence political decisions nyingi katika mkoa
Hivyo heshima not as powerful as mayor ni michael bloomberg aliyekuwa Newyork au sadik khan wa London
 
Kwani Wema ameshitakiwa au ameshutumiwa? Ifike mahala tutofautishe hivi vitu. Alaf kwani walitakiwa wahojiwe wapi ili ionekane ni sahihi? Club, hotel au majumbani kwao?
Nadhani alitaka wahojiwe kwenye tv Live shows walizozoea au wafanye igizo bongo movie[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Acheni ushabiki usio na maana, mnashabikia wasanii mkifikiri wao ni malaika hawawezi fanya makosa, hamjui kuwa wengine huwa wanatumia kivuli cha umaarufu kufanya mambo maovu. kama kweli mna huruma mbona hamna hata mmoja anaye zungumzia askari walio tajwa kujiusisha na ngada mmebaki kuzungumzia wasanii heti wamechafuliwa majina askari walio simamishwa kazi hamuwaoni mnawaona tu wakina wema. acheni kufanya mambo kwa ushabiki.
Na ndio wengi wao wanafanya mambo haramu kuficha maovu yao kupitia umaarufu maana si rahisi kumuhisi vibaya
 
Acha wafugwe tu hawa walitukosesha ushindi kisa kushabikia dubwashaaa ccm .. wengine wataajifunza kuwa tunahitaji ukombozi wa mara ya pili ..
Mkuu mbona uwa mnachanganya mara uwa mnasema alishinda ila matokeo yakabadilishwa sasa unasema waliwakosesha ushindi au wao ndiyo waliobadili yale matokeo aliyokuwa anasoma Mzee Rubu
 
Je unaamini kukutwa na madawa ya kulevya ni kosa?
 
Back
Top Bottom