Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Sasa mkuu tukitaka kuwaita ni hadi tuwakamate na dawa red-handed?

Mtu kuitwa kuhojiwa ni haki kabisa!
 
Kwanini hakuwaita kimyakimya mpaka awazalikishe kwenye media
Wao wanavyozalilisha watoto wa watu?

Mtu anazima hadi anajinyea hadharani..

Sitetei hao watu asee ni almost the Beast..
 
Kwanza ulitakiwa kuuliza mange nijinsia gani? Ndio u comment huoni kwamba umekurupuka kama chafya.
Mkuu we ndo hujamuelewa..!

Anamjua saaana Mange...

Soma hilo neno la mwisho halafu ufikirie sana na ukumbuke zile rumours za Kondakta
 
Ila makonda kwa sababu tuu ni mtu wa kupenda kupata attention...

Kesi kama hii unapiga kimya kimya tuu...

Kitengo cha polisi kingefanya uchunguzi wa awali bila kuwaita wala kuruhusu wahusika kufahamu..

Wakishakuwa na data za kutosha sasa ndo wanawaita watu wakiwa na data zao..

Sasa hivi blaa blaa...! Watu wameshaharibu ushahidi...
 
Kwani ni mara ya kwanza huku jf kutaja wema kuwa mbuya unga?
Kwanini hamkumshauri aache kama mlikuwa na uchungu naye?
Ukikutana nae unaweza kumwambia haya unayomuombea huyu kada wa Fisiem
 

Mkuu kuhojiwa Na polisi NI kawaida tu
Ila kudhalilishwa mbele ya WaTanzania wote hapo ni Tatizo.Hata kama hujafanya kosa Ila umehusishwa na madawa ya kulevya Au mauaji
Heshima yako imepotea.
 
Msiwe wepesi kutapeliwa na wanasiasa

Hapa hatuzungumzii siasa tunazungumzia unga ambao unaharibu wadogo zetu dada zetu, kaka zetu na jamii yetu kwa ujumla, Inawezekana sio kosa lako maana pengine uwezo wako wa kufikiria ndio umeisha hapo.
 
Mange kimambi mnafiki mkubwa huyu, anawang'ong'a watanzania kwa kujifanya na mahaba ya upande fulan katika jamii. Huyu mtu ndie aliesababisha wema kufungwa na hao wengineo, msijimix kumpa sir zenu huyu mtu ni USALAMA kitambo, misheni yake aliopewa ndo hyo anayoifanyaga.....Muogopeni huyu mtu anawachota akili tu. Sina mengi mie.....
 
Huyo Msando kesi ya Lema tu imemshinda hadi leo! Sembuse hii ya unga
 
Nimewahi kusoma hadithi, zamani sana, sidhani kama nitaikumbuka vizuri, ila kiini chake bado nakikumbuka vizuri. Nitakisema hapa " kulikuwa kuna nchi, inasifika saaaannna, nchi hiyo ni kwamba, linaibuliwa tatizo, kila mtu analizungumzia hilo tatizo, serikali ikisema inaingilia kati kutatua hilo tatizo, walewale walioibua hilo tatizo ndio haohao hugeuka watetezi wa wale wanaoshutumiwa kusababisha hilo tatizo"
 
Na Kama ushahidi haupo walipwe fidia pamoja na kuwasafisha katika jamii.
Ila kwa huo usemi wako hapo juu unaonekana unachuki ndo mana umekaa upande mmoja
Fidia ya nini??? Hao watu wameitwa kwa mhojiano, hawajatuhumiwa, endapo wakikutwa hawana kosa au hawahusiki au hawawez kua msaada wowote kwa police , police inaachana nao, kinacho fanyika saiv n upelelez... huko kwenye fidia unaenda kudai nn? kwamba ulihojiwa???
 
Alichosema makonda ni wanasemekana na haijathibitika so ni haki yake kuwakata ili kuwahoj nankupata ukwel akiwa kama mwenyekit wa kamat ya ulinz na usalama

Ni tuhuma tu
Kama ni tuhuma tu kwanini aseme hadharani huoni km kawadhalilisha na kuwaharibia CV zao....
lazma Makonda atakua na ushahidi wa kutosha suburi tuone
 
Kwan Makonda ndio anawahoji??? [emoji23] [emoji23] Drug abuser n yeyote yule, anae uza, sambaza na mtumiaj.. hilo n moja.. pili ukimkamata mmoja kati ya yeyote, n mwanzo wa kutatua tatizo... Mtuamiaj atamtaja anae muuzia, muuzaj atasema anayapata wap, hvyo hvyo mpk chain inafika mwsho, usije dhan watu hawana akil, ama wamekurupuka tu, usije dhan hivyo kabisa... Naona IGP nae kaunga mkono... kaungana na Makonda
 
Hata yeye sidhani kama anajua anataka nini. Leo hii anaomba makonda afunguliwe kesi ya defamation, ikiwa yeye ameshawataja watu hadharani bila ushahidi wowote, what a hypocrisy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…