Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Sasa mkuu tukitaka kuwaita ni hadi tuwakamate na dawa red-handed?Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?
Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.
Makonda hajui anachokifanya
Period
Mtu kuitwa kuhojiwa ni haki kabisa!