Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Mbona Ze bold aliitwa na wale jamaa wa masuti kuhusu kifo cha babake cheupe!?
 
Wauza ngada wanakimbia nchi...wakati mwingine mikwara inasaidia kupunguza mzunguko wa unga ....big up Makonda
 
Serikali yenyewe inaogopa kusimama kizimbani na hawa watu maana isipokuja na ushahidi wa kutosha lazima walipe hao wanaotuhumiwa.
UKICHUKUA DAMU ZAO ZIKAENDA KUPIMEA HOSPITALINI SI NI RAHISI TU KUTHIBITISHA UTUMIAJI WA MADAWA. WAKUBALI WAFANYIWE VIPIMO HIVO NDIO VYA HAKI
 
Wamezuiliwa kufanya hayo yote? Mfano walienda na wanasheria wakakataliwa? kuna aliyegoma kujibu tuhuma akalazimishwa kwa kuteswa au kitu kama hicho?
Umesema wenzetu hawawezi kumhold mtu ikiwa hawana ushahidi hata wakimazingira/vithibitisho, je kwenye hili saga pia iko hivyo ? Au umehisi tu kuwa ipo hivyo.
 
Wamezuiliwa kufanya hayo yote? Mfano walienda na wanasheria wakakataliwa? kuna aliyegoma kujibu tuhuma akalazimishwa kwa kuteswa au kitu kama hicho?
Kitendo cha kusema ambao hawakufika jana watafutwe wakamatwe wakae central mpaka j3 unakichukuliaje? Maana yake kufika siyo hiari ni lazima.
Umesema wenzetu hawawezi kumhold mtu ikiwa hawana ushahidi hata wakimazingira/vithibitisho, je kwenye hili saga pia iko hivyo ? Au umehisi tu kuwa ipo hivyo.
Wakiwa na ushahidi wanamuita kumhoji na ushahidi wanampa ili a confess. Aki confess au asipo confess as long as tayari wana ushahidi basi wanafuata utaratibu wa kumpeleka mahakamani.
Sasa kwa habari ninazosoma ni kwamba watu jana wengine bado wameshikiliwa hope tutasikia soon wamepelekwa mahakamani ikawa tofauti itanishangaza kuwashikilia bila kuwa na ushahidi juu yao.
The bottom line siyo kwamba natetea wala nampinga makonda nachojaribu kusema ni juu ya polisi wanavyofanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…