Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Habari njema ni kuwa Magufuli Wewe na serikali yako hamtarudishwa nyuma na wapuuzi fulani
 
Jombaa hiyo sheria iko wapi....usa wanamziki kibao wanakufa na unga hawajawahi kuitwa kuhojiwa,ila makonda kakosa kiki ndio kaona atoke na hii ila comedy nyingi unamtaja petit cjui alteza wauza unga wakati.madon wapo wakubwa na wadogo kina rummy,kanyau,tikotiko
Hivi ulichokiandika umekisoma kwa makini
 
Jombaa hiyo sheria iko wapi....usa wanamziki kibao wanakufa na unga hawajawahi kuitwa kuhojiwa,ila makonda kakosa kiki ndio kaona atoke na hii ila comedy nyingi unamtaja petit cjui alteza wauza unga wakati.madon wapo wakubwa na wadogo kina rummy,kanyau,tikotiko
Kama hao wakina rummy unawajua so ukaripoti polisi uwasaidie, wale wameitwa kuhojiwa hakuna alihukumiwa pale
 
Kitendo cha kusema ambao hawakufika jana watafutwe wakamatwe wakae central mpaka j3 unakichukuliaje? Maana yake kufika siyo hiari ni lazima.

Wakiwa na ushahidi wanamuita kumhoji na ushahidi wanampa ili a confess. Aki confess au asipo confess as long as tayari wana ushahidi basi wanafuata utaratibu wa kumpeleka mahakamani.
Sasa kwa habari ninazosoma ni kwamba watu jana wengine bado wameshikiliwa hope tutasikia soon wamepelekwa mahakamani ikawa tofauti itanishangaza kuwashikilia bila kuwa na ushahidi juu yao.
The bottom line siyo kwamba natetea wala nampinga makonda nachojaribu kusema ni juu ya polisi wanavyofanya kazi
Ni kipi kinachokufanya uamini hakuna ushahidi?
 
Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?

Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.

Makonda hajui anachokifanya
Period
Point, good girl
 
Jombaa hiyo sheria iko wapi....usa wanamziki kibao wanakufa na unga hawajawahi kuitwa kuhojiwa,ila makonda kakosa kiki ndio kaona atoke na hii ila comedy nyingi unamtaja petit cjui alteza wauza unga wakati.madon wapo wakubwa na wadogo kina rummy,kanyau,tikotiko
Mkuu sheria ipo Tanzania sio USA kila nchi ina sheria zake Jamaica ganja ni zao la bishara ila huku kwetu ni marufuku......... tafuta sheria inayozuia isome vizuri inaitwa THE DRUG CONTROL AND ENFORCEMENT ACT, 2015
 
Kwa Tanzania hayo yote ni mambo ya kawaida. Kulazimishwa kwa kuteswa ili ukubali kosa ni jambo la kawaida sana
Tusipende kuhitimisha kwa mazoea.....



Hii ni kama tuhuma ya kuambiwa mzazi ni mchawi mtoto inakuwa ngumu kuamini na kuhisi anaonewa na kujiridhisha kwa mifano inayompa moyo
 
Kuna watu waliitwa kwenda kutoa maelezo kuhusu madawa hayo si kila aliyeitwa basi ana tumia au kufanya biashara bali wengine wana saidia kutoa taarifa......
Huyo Wema mbona kaachiwa siku ile ile?
Kalala lock up
 
Mtu anafanya birthday part inagharimu shilingi milioni themanini na kuzawadiwa gari la bei mbaya,kwa vipato gani walivyo navyo kama siyo biashara ya unga? Zama zimebadilika lazima tuheshimiane mjini kwa kuishi kwa vipato halali..!!
 
...wameharibu watoto wetu, wafungwe tu hakuna namna.. Makonda go, go, go. Mungu atakuwa pamoja na wewe.

Wengi waliokamatwa wao ndo "wameharibiwa" na huwezi kuwafunga hawa. Imagine eti ukamfungue Chid Benzi. Kina Makonda wanataka hawa punda ndio wawaelekeze walipo wauzaji papa.

Majina si tuliambiwa yapo Ikulu lakini? Makonda si akayachukue pale? Au list ya JK nae ilikuwa na majina ya kina wema na Chid?
 
Mange kimambi" mkuu wananchi tunaomba uchukue kesi ya Wema probono.
Tena sio kumtoa ndani tu, tunaomba umfunze Makonda adabu by during him and the city for defamation wamlipe Wema mabilioni kama Yale Togo waliambiwa walipe....

Please please Albert tunaomba, Wema kutoka ndani sio solution kabisa, wameshamwalibia maisha yake, hawezi kufanya Kazi na kampuni yoyote ile kubwa,

Please please tunakuomba au kama vipi tujichange tukulipe".
Hadi sasa wasanii walioitwa kuhojiwa bado wanashikiliwa na jeshi la polisi

Nivizuri tukaiacha jeshi la polisi lifanye kazi yake, Naamini mpaka makondo kuamua kuyaanika hayo majina hadharani basi ujue atakua na ushahidi wa kutosha. Tuwe wavumilivu kidogo kabla ya kutoa lawama.
 
Ni kipi kinachokufanya uamini hakuna ushahidi?
Ndiyo maana nimekwambia nasubiri kusikia wamepelekwa mahakamani wasipopelekwa nitashangaa siyo kuhojiwa kwao bali kwa kushikiliwa kwao kama ni kweli wameshikiliwa...
 
Back
Top Bottom