Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Nashindwa kuwaelewa watu wanaotetea hili.Jombaa hiyo sheria iko wapi....usa wanamziki kibao wanakufa na unga hawajawahi kuitwa kuhojiwa,ila makonda kakosa kiki ndio kaona atoke na hii ila comedy nyingi unamtaja petit cjui alteza wauza unga wakati.madon wapo wakubwa na wadogo kina rummy,kanyau,tikotiko
Madon wa unga wapo na wanajulikana iweje uwaite watumiaji na kuwahoji?
Hivi mchovu kama TID anaweza kuwa anauza unga kweli?
Hahahah
Mambo ya Makonda ni vichekesho ila vichekesho zaidi ni wale wanaomuunga mkono kwa anachokifanya.