Polisi na intelijensia ya Tz inavyofanya kazi inaniacha hoi.
Sijui kwakuwa niko addicted na IDx kwa kuona wenzetu wanavyofanya kazi.
Wenzetu hawawezi kumhold mtu kama hawana ushahidi wa uhakika uwe wa kimazingira au vithibitisho juu ya kosa analotuhumiwa.
Atahojiwa kama hawana hivyo vitu watamuacha waendelee kumpeleleza taratibu.
Wenzetu mtu kuitwa polisi akahojiwe ni hiari kwenda ama kutokwenda na akifika anaweza akatae kujibu chochote mpaka awepo mwanasheria wake.
Akigoma kwenda basi watatafuta sababu ya kumkamata mfano avunje sheria ya barabara akamatwe apelekwe polisi hapo watamhoji juu ya mahojiano pia ya kosa wanalohisi katenda awali kama hawana ushahidi.
Makonda anachofanya kiko sawa ila ninahisi kuna haki za watu/watuhumiwa hazizingatiwi yani sheria inawekwa pembeni mtu anafanya anavyohisi mwenyewe