Soma sheria uelewe, polisi wanaweza kukuita na kukuhoji kwa chochote wanachohisi umekwenda kinyume na sheria na ni wajibu wako kutoa maelezo na hata kama huna hatia bado unawajibika kutoa maelezo.Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?
Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.
Makonda hajui anachokifanya
Period
Kuhojiwa sio hukumu na unaweza kuachiwa watakapojiridhisha kwamba sio mhusika na hawawajibiki kukulipa chochote.
Suala hapa ni kuwaachia polisi wahoji na kujiridhisha kama ni kweli wanahusika na kuuza au kutumia unga.
Biashara ya unga huwa inafanyika kwa siri sana mimi na wewe hatuwezi kusema kwamba Wema anahusika au hausiki.
Tusihoji kwa kuwa tunamapenzi na wema bali tusubili nini kitaendelea baada ya kuhojiwa.
Mange Kimambi yuko US hajui maisha ya kila siku ya watu huku ameandika kwa mapenzi yake kwa Wema