Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?

Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.

Makonda hajui anachokifanya
Period
Soma sheria uelewe, polisi wanaweza kukuita na kukuhoji kwa chochote wanachohisi umekwenda kinyume na sheria na ni wajibu wako kutoa maelezo na hata kama huna hatia bado unawajibika kutoa maelezo.
Kuhojiwa sio hukumu na unaweza kuachiwa watakapojiridhisha kwamba sio mhusika na hawawajibiki kukulipa chochote.
Suala hapa ni kuwaachia polisi wahoji na kujiridhisha kama ni kweli wanahusika na kuuza au kutumia unga.

Biashara ya unga huwa inafanyika kwa siri sana mimi na wewe hatuwezi kusema kwamba Wema anahusika au hausiki.
Tusihoji kwa kuwa tunamapenzi na wema bali tusubili nini kitaendelea baada ya kuhojiwa.
Mange Kimambi yuko US hajui maisha ya kila siku ya watu huku ameandika kwa mapenzi yake kwa Wema
 
Hivi kuna sheria inalataza mtu ueyote kuhojiwa?
 
Alichosema makonda ni wanasemekana na haijathibitika so ni haki yake kuwakata ili kuwahoj nankupata ukwel akiwa kama mwenyekit wa kamat ya ulinz na usalama

Ni tuhuma tu
Yani ukiwahoji ndio watakwambia kwamba wanajihusisha na dawa za kulevya?
 
Aaah, sikuona nilivyoona aina ya maandishi yake tu nikajua tu yeye ndo mwandishi. Ndo maana nikajua na ile ni ld yake.
 
Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?

Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.

Makonda hajui anachokifanya
Period
Mkuu kuitwa kuhojiwa si kwamba unahusika au unahatia hapana, kuna uwezekano katika waliokamatwa kuna ambaye alimtaja kwa namna moja au nyingine, hivyo maelezo yake yana hitajika? Mbona ni kawaida kabisa...
 
Screenshot_2017-02-04-09-53-55.jpeg



Hv huyu wema amewaloga?

Ni nani hasa kwenye nchi hii?

Ana nini hasa kinachochangia maendeleo ya nchi yetu?

Watanzania tukoje?

Kwa nini mnataka apendelewe?

Kuna hoja zinatia hasira sana asee hebu tuwaachie polisi wafanye yao. Kuna mtu mmoja amesema makonda ameyafanya yale yaliyo kwenye level yake hayo mengine yapo chini a mkuu wa kaya naye aonyeshe au atimize kama alichofanya makonda kudeal na mapapa wauza ngada. Hii hoja naiunga mkono.

Ila hasa wanaomlilia wema nashindwa kuwaelewa kabisa. Mkija kwa TID mnasema kwa mizaha kwa nini? Acheni unafiki
 
Ila watz ni wagumu wa kuwaelewa sana hao hao wanapiga kelele kila leo kwamba madawa ya kulevya yanamaliza nguvu kazi ya taifa, haya wameitwa kwenda kuhojiwa tena kuhojiwa tu kama ni kweli au lah! wametokea watetezi tena dah!! Tz simama nishuke.

Ngoja kesho utasikia na yule mama wa Haki za binadamu naye anakuja kuwatetea hapa.
 
Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?

Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.

Makonda hajui anachokifanya
Period
Kuna watu waliitwa kwenda kutoa maelezo kuhusu madawa hayo si kila aliyeitwa basi ana tumia au kufanya biashara bali wengine wana saidia kutoa taarifa......
Huyo Wema mbona kaachiwa siku ile ile?
 
My take naona Makonda ana haki yakuwa hold ndani mpaka pale uchunguzi utakapo kamilika coz wakiachiwa watavuruga ushahidi japo mpaka sasa wametuhumiwa tu Bado hawajathibitika. Makonda kaza buti kijana mwenzangu tuko nyama yako vijana wengi wamepotea kwajili ya unga.
 
Mange kimambi" mkuu wananchi tunaomba uchukue kesi ya Wema probono.
Tena sio kumtoa ndani tu, tunaomba umfunze Makonda adabu by during him and the city for defamation wamlipe Wema mabilioni kama Yale Togo waliambiwa walipe....

Please please Albert tunaomba, Wema kutoka ndani sio solution kabisa, wameshamwalibia maisha yake, hawezi kufanya Kazi na kampuni yoyote ile kubwa,

Please please tunakuomba au kama vipi tujichange tukulipe".
Hadi sasa wasanii walioitwa kuhojiwa bado wanashikiliwa na jeshi la polisi
Kumbe haka kadada kana A B C ya ubushlawyer?
 
Polisi na intelijensia ya Tz inavyofanya kazi inaniacha hoi.
Sijui kwakuwa niko addicted na IDx kwa kuona wenzetu wanavyofanya kazi.
Wenzetu hawawezi kumhold mtu kama hawana ushahidi wa uhakika uwe wa kimazingira au vithibitisho juu ya kosa analotuhumiwa.
Atahojiwa kama hawana hivyo vitu watamuacha waendelee kumpeleleza taratibu.
Wenzetu mtu kuitwa polisi akahojiwe ni hiari kwenda ama kutokwenda na akifika anaweza akatae kujibu chochote mpaka awepo mwanasheria wake.
Akigoma kwenda basi watatafuta sababu ya kumkamata mfano avunje sheria ya barabara akamatwe apelekwe polisi hapo watamhoji juu ya mahojiano pia ya kosa wanalohisi katenda awali kama hawana ushahidi.
Makonda anachofanya kiko sawa ila ninahisi kuna haki za watu/watuhumiwa hazizingatiwi yani sheria inawekwa pembeni mtu anafanya anavyohisi mwenyewe
 
Back
Top Bottom