Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Mange Kimambi ana a mini kuwa ana nguvu kubwa sana mtandaoni. ( Of course anazo)
Nguvu ambayzo angeweza kuzitumia either against Samia's Government or in favour of Samia's Government kipindi hiki cha Uchaguzi.
Probably serikali ya CCM ilimfuata kuomba kumtumia, kwa yeye kukaa kimya kwa kutojihusisha na mambo ya siasa za Tanzania , more precisely NRNE.
Asalie kwenye kuandika habari za umbea ili watanzania wa mitandaoni wa concentrate kwenye umbea jambo ambalo lingefifisha nguvu ya NRNE.
Probably Mange Kimambi aliwataka wampe hela nyingi zaidi kuliko ile waliyo mu- offer.
Au probably CCM hawakumfuata kabisa Mange Kimambi.
Wakati huu wa vuguvugu la Uchaguzi ndio wakati sahihi kwa mtu mwenye nguvu ya mitandaoni kama Mange Kimambi Ku tengeneza hela.
Kitendo cha CCM kutokumpa hela anayo itaka.
Au kumchunia kwa kutomfuata kabisa, kitakuwa kimemuudhi sana Mange Kimambi kwa kuona CCM wame dharau nguvu yake ya mtandaoni.
So, akaamua kuiunga mkono NRNE.
Lego la Mange kuiunga mkono NRNE ni kumtisha Samia na CCM ili wafikirie mara mbili eidha kumpa dau analolitaka ( kama walimpa ofa ambayo hakuridhika nayo) au kumfuata kumpa hela ( kama walimchunia)
Ndio maana ukitazama kwenye kampeni yake amekuwa akimuattack Samia kama Samia na sio real issues.
In addition to that amekuwa akilazimisha Wa Tanzania waamini vitu vya uongo kuhusu Samia. Kwa mfano anamuita Samia Dikteta na katili etc vitu ambavyo Samia hana hata kimoja.
Afadhali angesema kwamba Samia ni mpole Sana kiasi kwamba watu wa Chini yake wana umiza wapinzani na yeye hawakemei. Kidogo angeweza kuwa na logic.
Kampeni ya Mange hadi muda huu imefeli.
Ali washawishi wafuasi wake wa comment NRNE kwenye pages za watu maarufu mwisho wa siku wamechoka wenyewe.
Salsa hivi wamerudi kwa kasi kufuatilia habari za " Mastar" wa bongo.
Now Mange ame come up with another crazy campaign
Anataka watanzania waandamane dhidi ya Samia kwa gear ya kusimama pamoja na waumini wa Gwajima.
Gwajima huyu huyu ambae ulisema watu wampotezee kwa sababu anatumiwa na CCM?
Anyways kwa mtu anaetazama kwa mbali atagundua kwamba lengo la hiyo Campaign yako ni kutupa karata yako ya mwisho katika kujaribu kumtikisa Samia ili " Akupoze". ( A drowning man will catch even a straw)
Campaign hiyo itakupa pigo jingine kwako, kwa sababu ita fail big time.
Na mwisho wa siku itaenda kuzika ile "credibility" yako kama mtu tishio kwa serikali.
Nasema kuzika kwa sababu tayari hiyo " Threatening Aura" Uliyokuwa nayo imekufa na umeiua wewe mwenyewe.
Samia hakuofii tena. You are no longer a problem to her regime.
Ni bora ungebaki na issue zako za umbea.
I know that ur a very smart woman. You know how to play some psychological tricks with your followers.
Kwa mfano huwaga unasemaga unafanya harakati zako kwa ajili ya watanzania jambo ambalo sio kweli Mange.
We know you are in for it. You do it for yourself.
Huna hiyo emotional connection na watanzania kiasi hicho.
Wewe huyo huyo unae wavua nguo watanzania kila siku then Leo ndo Uwe na uchungu nao?How? Sio kweli.
You have proved to be an emotionless person. You don't care about other people's feelings, you can never ever care about their problems.
It will take a very special kind of an idiot to believe that Mange is fighting for Tanzanians.
Mange is fighting Samia kwa sababu Samia amekuchunia, hujapewa fungu la kununua your silence...
Mange Kimambi you need a hug.