Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
au katumwa niniMangi anamtafutie Mabaya boss wetu amuache na asimjadili hana ligitemacy ya Kumjadili au kumsifia Boss wetu... She is useless
atakuwa katumwa siyo bureau katumwa nini
Mange anaanza kutapatapa. Matawi yanateleza kila akishika.Mangi anamtafutie Mabaya boss wetu amuache na asimjadili hana ligitemacy ya Kumjadili au kumsifia Boss wetu... She is useless
nunua bandoMbona hewa mkuu?
like uMangi anamtafutie Mabaya boss wetu amuache na asimjadili hana ligitemacy ya Kumjadili au kumsifia Boss wetu... She is useless
Yeye ndio anatakiwa afichue hiyo mienendo ya kifisadi ya awamu hii aliyoigundua!! Naamini mafisadi huwa yanajificha sana kwa hiyo yeye kama mwandishi na anayeipenda nchi yake afichue huo ufisadi wa awamu hii kuliko kulalamika nyuma ya keyboard... hatuhitaji mafisadi kama wapo mafisadi na ufisadi na ushahidi anao kwa nini asiutaje huo ufisadi??
Dah...not useless bana....ni desperate[emoji87]Mangi anamtafutie Mabaya boss wetu amuache na asimjadili hana ligitemacy ya Kumjadili au kumsifia Boss wetu... She is useless
Huwa najiuliza Huyu Max akibanwa kimafya akatakiwa atoe data base ya users wa JF kweli Ana uwezo wa kukaza?
Relax ukute ashatoa kila kituHuwa najiuliza Huyu Max akibanwa kimafya akatakiwa atoe data base ya users wa JF kweli Ana uwezo wa kukaza?
[emoji33] [emoji33] [emoji25] [emoji25]Huwa najiuliza Huyu Max akibanwa kimafya akatakiwa atoe data base ya users wa JF kweli Ana uwezo wa kukaza?
Achana na Mambo ya Mahakama kwa mfano akipelekwa kule Ununio kwa vijana wa Kazi?