Mange Kimambi asifu ujasiri wa Maxence Melo

Mange Kimambi asifu ujasiri wa Maxence Melo


Yeye ndio anatakiwa afichue hiyo mienendo ya kifisadi ya awamu hii aliyoigundua!! Naamini mafisadi huwa yanajificha sana kwa hiyo yeye kama mwandishi na anayeipenda nchi yake afichue huo ufisadi wa awamu hii kuliko kulalamika nyuma ya keyboard... hatuhitaji mafisadi kama wapo mafisadi na ufisadi na ushahidi anao kwa nini asiutaje huo ufisadi??
 
Huwa najiuliza Huyu Max akibanwa kimafya akatakiwa atoe data base ya users wa JF kweli Ana uwezo wa kukaza?

Achana na Mambo ya Mahakama kwa mfano akipelekwa kule Ununio kwa vijana wa Kazi?
[emoji33] [emoji33] [emoji25] [emoji25]
 
Back
Top Bottom