Ana ID kibao umu na ni member Active kuliko unavo fikiria !!!...Asihamie huku. Abaki insta anakotukania. Hapa matusi hapana
SijuiAna ID kibao umu na ni member Active kuliko unavo fikiria !!!...
Kweli mkuu nakumbuka mwez juz aliomba ukuu wa mkoa kwa anko maguMange ni mwehu anahangaika na njaaa....na ameshasema siku ikitokea paaap magu kampa ubalozi anaachana na hiko achokiita uanaharakati na page yake anawakabidhi uvccm .....Hamna MTU pale kama wewe ni mfuasi wa mange andika umekula hasara
Hahaaaa ni mpuuz huyo msitue mwambie nimemdisMkuu Mange akikuskia, usiku huu huu anakupost.
InstaAmesifu wapi
Mara nyingi nimejiuliza hilo swali na Majibu yanayonijia ni ndio tupu kwamba maji yakizidi unga chini ya Wasiojulikana taarifa zetu zitamwagwa tu.Huwa najiuliza Huyu Max akibanwa kimafya akatakiwa atoe data base ya users wa JF kweli Ana uwezo wa kukaza?
Achana na Mambo ya Mahakama kwa mfano akipelekwa kule Ununio kwa vijana wa Kazi?
Ngoja niangalie. Kwa nn hajasifu humu JF kama yupoInsta
Upo sahihi ila lazima wakate vidole, wamtoe macho n.k ili kuingia kwenye server, na huenda server ipo USAMara nyingi nimejiuliza hilo swali na Majibu yanayonijia ni ndio tupu kwamba maji yakizidi unga chini ya Wasiojulikana taarifa zetu zitamwagwa tu.
Mimi nadhani tayari wana kila kituMara nyingi nimejiuliza hilo swali na Majibu yanayonijia ni ndio tupu kwamba maji yakizidi unga chini ya Wasiojulikana taarifa zetu zitamwagwa tu.
Hilo ndio linawezekana zaidiKuna uwezekano wasimtumie Melo Bali wafanyakazi wengine maana njaa kila mtu anayo
Kama wameweza wabadilisha waliokuwa wakiwatusi na Leo his wanawasifu......Hilo ndio linawezekana zaidi
Mbona yumo kabda yako na hatukani humuMods mange akijiunga jamii forum mpigen ban ya maisha
Hatutak matus huku
Hivi inawezekana kweli hawa jf wasitujue sisi???Kama wameweza wabadilisha waliokuwa wakiwatusi na Leo his wanawasifu......
Kuwalipa watumishi wa hapo jf ni swala dogo sana...
Labda tuwe na uhakika kuwa hata jf hawawezi jua sisi ni kina Nani
Ila pia sisi wengine sio political risks ndo maana twaishi
Huwa najiuliza Huyu Max akibanwa kimafya akatakiwa atoe data base ya users wa JF kweli Ana uwezo wa kukaza?
Achana na Mambo ya Mahakama kwa mfano akipelekwa kule Ununio kwa vijana wa Kazi?
Uwezekano upo mkubwa tuHivi inawezekana kweli hawa jf wasitujue sisi???
Mkuu dadavua kidogo hapo inawezekanaje wasitujue??Uwezekano upo mkubwa tu