Mange Kimambi asifu ujasiri wa Maxence Melo

Mange ni mwehu anahangaika na njaaa....na ameshasema siku ikitokea paaap magu kampa ubalozi anaachana na hiko achokiita uanaharakati na page yake anawakabidhi uvccm .....Hamna MTU pale kama wewe ni mfuasi wa mange andika umekula hasara
Kweli mkuu nakumbuka mwez juz aliomba ukuu wa mkoa kwa anko magu

Huyu anasumbuliwa na njaa tu
 
Huwa najiuliza Huyu Max akibanwa kimafya akatakiwa atoe data base ya users wa JF kweli Ana uwezo wa kukaza?

Achana na Mambo ya Mahakama kwa mfano akipelekwa kule Ununio kwa vijana wa Kazi?
Mara nyingi nimejiuliza hilo swali na Majibu yanayonijia ni ndio tupu kwamba maji yakizidi unga chini ya Wasiojulikana taarifa zetu zitamwagwa tu.
 
Upo sahihi ila lazima wakate vidole, wamtoe macho n.k ili kuingia kwenye server, na huenda server ipo USA
 
Mara nyingi nimejiuliza hilo swali na Majibu yanayonijia ni ndio tupu kwamba maji yakizidi unga chini ya Wasiojulikana taarifa zetu zitamwagwa tu.
Mimi nadhani tayari wana kila kitu
 
Hilo ndio linawezekana zaidi
Kama wameweza wabadilisha waliokuwa wakiwatusi na Leo his wanawasifu......
Kuwalipa watumishi wa hapo jf ni swala dogo sana...
Labda tuwe na uhakika kuwa hata jf hawawezi jua sisi ni kina Nani

Ila pia sisi wengine sio political risks ndo maana twaishi
 
Hivi inawezekana kweli hawa jf wasitujue sisi???
 
Mange ni kicheche, ukimuona anakutafuta ujamaa kimbia mpaka upoteze sight. Hafai huyu ni nyoka.
 
Huwa najiuliza Huyu Max akibanwa kimafya akatakiwa atoe data base ya users wa JF kweli Ana uwezo wa kukaza?

Achana na Mambo ya Mahakama kwa mfano akipelekwa kule Ununio kwa vijana wa Kazi?
FB_IMG_1511925926615.jpg
 
Back
Top Bottom