Waliwahi sema kwenye ile kesi yao kuwa hata wao hawawezi jua Nani ni naniMkuu dadavua kidogo hapo inawezekanaje wasitujue??
Mange ni mwanachama wa JF kabla wewe hujaja mjini ulikuwa bado upo mashambani.Mods mange akijiunga jamii forum mpigen ban ya maisha
Hatutak matus huku
Mkuu isije ikawa janja yao tu mkuuWaliwahi sema kwenye ile kesi yao kuwa hata wao hawawezi jua Nani ni nani
Wengi wangekua hawapo humu leo, japo jf ya Leo si ya janaMkuu isije ikawa janja yao tu mkuu
Siyo huenda, fact ni kwamba server za JF zipo Marekani.Upo sahihi ila lazima wakate vidole, wamtoe macho n.k ili kuingia kwenye server, na huenda server ipo USA
Server za Jf zipo United State Of Amerika, mitaa ya Nevada wanako fanya test zana za kijeshi kama Nuclear Bomb etc....Mara nyingi nimejiuliza hilo swali na Majibu yanayonijia ni ndio tupu kwamba maji yakizidi unga chini ya Wasiojulikana taarifa zetu zitamwagwa tu.
Kwa kifupi kuna VPN, hizi siyo zama za mawe.Waliwahi sema kwenye ile kesi yao kuwa hata wao hawawezi jua Nani ni nani
NotedWengi wangekua hawapo humu leo, japo jf ya Leo si ya jana
Wapo humu mkuu kina kipara kipya afisa usalamaSiyo huenda, fact ni kwamba server za JF zipo Marekani.
Wachambawima watasubiri sana, kama wao wanaijuwa sayansi kama wanavyojitapa sisi tunaijuwa teknolojia.
Wakajambe mbele huko, Max akipendwa na watu wenye akili timamu inatosha.Nilichojifunza kwenye huu uzi, watu wanachuki kubwa sana na Max Melo.
Wapo humu mkuu kina kipara kipya afisa usalama
Saliti ndo nini?hata bavicha saiv mnampigia saliti mange
Mange rudi Tanzania bhana,acha usanii