Mange Kimambi asifu ujasiri wa Maxence Melo

Mange Kimambi asifu ujasiri wa Maxence Melo

Mods mange akijiunga jamii forum mpigen ban ya maisha

Hatutak matus huku
Mange ni mwanachama wa JF kabla wewe hujaja mjini ulikuwa bado upo mashambani.

Kwa tuliopo hapa tunaelewa vizuri na Mange alishamleteaga usenge Jazz band Max.

Ni vile tu Max ni easy taker aliamuwa kumpuuza tu little biachi.
 
Upo sahihi ila lazima wakate vidole, wamtoe macho n.k ili kuingia kwenye server, na huenda server ipo USA
Siyo huenda, fact ni kwamba server za JF zipo Marekani.

Wachambawima watasubiri sana, kama wao wanaijuwa sayansi kama wanavyojitapa sisi tunaijuwa teknolojia.
 
Fala sana huu Mala.ya, aachane kabisa na watu wenye heshima zao hapa bongo.
 
Mara nyingi nimejiuliza hilo swali na Majibu yanayonijia ni ndio tupu kwamba maji yakizidi unga chini ya Wasiojulikana taarifa zetu zitamwagwa tu.
Server za Jf zipo United State Of Amerika, mitaa ya Nevada wanako fanya test zana za kijeshi kama Nuclear Bomb etc....

So Relax
 
Waliwahi sema kwenye ile kesi yao kuwa hata wao hawawezi jua Nani ni nani
Kwa kifupi kuna VPN, hizi siyo zama za mawe.

Hata Telegram huwezi kumtambuwa mtu. Hizi ni zama nyingine kabisa siyo za kujambishana.
 
Siyo huenda, fact ni kwamba server za JF zipo Marekani.

Wachambawima watasubiri sana, kama wao wanaijuwa sayansi kama wanavyojitapa sisi tunaijuwa teknolojia.
Wapo humu mkuu kina kipara kipya afisa usalama
 
Wapo humu mkuu kina kipara kipya afisa usalama
FB_IMG_1511925926615.jpg
 
Back
Top Bottom