Kuna swali dogo sana Mange hajajiuliza, ye anafikiri kwenye nchi zenye sheria za Cyber hakuna freedom of speech! ?
Yaani ye amekaa akaona akija na hili la freedom of speech ataungwa mkono na watu smart, She assures of that ndo maana anasema I know hata JF watamuunga mkono. Tena akaamua kumshirikisha na mdogo wake wema sepetu ili wa win the so called team wema, Mange mjanja sana eti ameamua kuingilia mlango wa siasa ili ku win attention ya waropokaji wote wakiwemo na baadhi ya wabunge!
Hii sheria sio mbaya kiasi hicho mnachotaka kutuaminisha, ebu turudi darasani tukasome, Cybercrime ina mambo mengi sana sio Bulliying tu. Tuichambue tujue na mazuri yake.
Nilishawahi kusikia mtu siku moja akisema
#wema sepetu hajawahi intertain zile team zake hehee nani kakwambia! !?? Kule instagram katokwa povu kutetea hao team uchwara wake anajua bila hao jina lake halitakuwa kwenye chat!
Na wajinga walio nyuma yao wamewasapotije? Watanzania hatutakaa tujikomboe si kwa kufuata mkumbo huu kisa
#wema na
#Kimambi mange wamesema basi huu muswada haufai! Eti ohhh mange nakuunga mkono blah blah kibao what a nonsense.
Eti tena wema yuko serious kabisa anasema hakuna mtu Tz anatukanwa kama yeye, hahaha yaani ye kutukanwa kwa ujinga wake anataka kujustfy na matusi kwa wengine! Wameshindwa hata ku focus on future watoto wao wakijakusoma the way Wazazi wao walivyokuwa wanadhalilishwa watakuwa in which state of mind!
Nimekumbuka Mange alivyohamasisha watu wa kwenye blog yake kum report
#Mbuta nanga alivyokuwa anamtukania Bhoke wake! Why she did so kama anaona matusi ni mazuri au ndo mambo ya double standards! ?
Mange your so smart than this shit na kipaji cha kuandika unacho ambacho ni very impressive. sometimes nataka kuamini wewe ni
lara1 lakini kitu na kutofautisha na
lara1 Mange your too bitter and biased lakini
lara1 ni intertainer MNISAMEHE KWA HILI kwani kuhisi kwangu hakufanyi kitu kuwa cha kweli ni kiherehere cha akili yangu tu.
Anyway ngoja nimalize kwa kusema hivi A Bill has NOTHING TO DO with FREEDOM OF SPEECH zenye facts ndani yake ni nyie wambea tu na pressure zenu. Despite of cyber laws serikali itakosolewa vizuri tu. SAY THE TRUTH IN A PROFFESIONAL WAY uone kama mtu atakufuata so stop worrying Mange.