Mange Kimambi awavaa January Makamba na Ridhiwani, Ajiunga rasmi 'Team Lowassa'

I used to admire you lakini Leo umenisikitisha siyo kila kitu kutetea jmni penye ukweli na fact lets b open mange hapa was rite Le mutuz
 
nakubaliana na mange kias but let me ask
hv hawezi kuongea bila personal attacks?
kwa shamim jamani?!
 
I used to admire you lakini Leo umenisikitisha siyo kila kitu kutetea jmni penye ukweli na fact lets b open mange hapa was rite Le mutuz

- Do I care na admiration za Jina la Bandia? Take back your admiration ila from now on unapoandika lazima uwe na FACTS na EVIDENCE ama sivyo utafungwa au utalipa faini the only way Wabongo tutaacha majungu majungu yamezidi sana, kama una p[icha za mbaya za Kiongozi wa Taifa atakufunga nani ukizitoa? Lakini picha za kutengeneza sasa utafungwa wacha

- Watu wanaandika utetezi wa kitoto wanachotetea ni kutaka kutukana watu kwenye Social Media halafu wanajifanya kujificha ficha kwenye habari za Serikali na Wanasiasa, infact mimi binafsi ninasubiri kumsaidia Mwananchi yoyote aliyetukanwa baada ya hii sheria ndio wananchi watatia adabu, wanacholilia ni kwamba sasa uhuru wa kutukana watu wasiowajua umeisha kama huamini subiri soon utaona mtu anaenda jela,

- Wananchi wanaishi kwa kazi na jasho lao wewe unakuja kuwarushia maneno ya kuuza unga sasa utaonyesha ushahidi au utafungwa, ni uandishi na RESPONSIBILITY and please take your admiration back cause siihitaji ok!!

Le Mutuz
 
Ameandika kimasihara-masihara ila hoja yake ni nzito.

Huyo dada baada ya watu kumlalamikia VODACOM wakatoa ufadhiri katka blog yake. Akaanza visa kwanini mwamvita hamtetei wakati ni marafiki wazuri. Sasa kumpoza wakampa dili la kutangaza kitabu cha january dili lenyewe jamaa mguu ndani mguu nje coz blog yake sasahivi imekosa mvuto. Ndio kaamua kuwalipua mtandaoni hana hoja zozote hizo ni chuki binafsi mbona mwanzo alikuwa anawasapoti?
 
Kwa sheriaa hiii hata mi namuunga mkono Mange bwana watu wataonewa mno Tanzania hakuna haki kuna uonevu tu hiyo sheria itageuka kuwaziba watu midomo,kuwaonea watu hovyooo hii yote ni CCM ,muda wa kuwachagua viongozi umekaribia ni kuondoa CCM ,tuwape Chadema kura nao walete mabadiliko tumeshachoka,wanashindwa kuweka sheria kali kuhusu mauaji ya albino,hii nchi kuna ,maswala mazito bado hayajarekebishwa wanarekebisha matumbo yao tu wanakimbilia hayo ya sheria za mitandaonii mfyuuuuuuuu
 

Hilo la kitabu cha January aliliweka buree mwenyewe kwa kupenda,mbona tangazo la vodacom lipo au hujalionaa
 
Hilo la kitabu cha January aliliweka buree mwenyewe kwa kupenda,mbona tangazo la vodacom lipo au hujalionaa

Hilo tangazo halijadhaminiwa na vodacom tofauti na lile la kwanza. Hilo ni yale ya pay per click au kama adsense ya google. Vodacom walishamchinjia baharini tangu ile issue ya yule mdada aliyejiuwa.

Hilo unaloliona hapo halina tofauti na haya ya JF sijui Mziki Hisia Thai Village, hayo ukiclick ndio yeye analipwa sio kama lile la mwanzo ambalo alikuwa anasaini mkataba Mnono
 

Umeona eeeh? Sababu ya kulinda matumbo yao inatufanya tukose uhuru wa kupiga umbea na kupashana habari.
Ngoja tu October ifike hata kama wakiahirisha lakini lengo ni lile lile la kuifuta kabisa CCM.
 
Mwanamke Wa ukweli, makini na jasiri simama imara kutetea taifa lako. Big up girl.
 
Naona watu wamejichoka sasa wanaanza harakati za kujaribu kuswim kwenye kina kirefu cha maji
 
Unganisheni dots,na maandishi ya kiswanglish,huyu mwanamke ndo yule anayekesha kule MMU na story za ngono.
 

unachuki na mange wewe!.hata kwenye mambo ya muhimu unaleta chuki!.shame on u ndo mana kila siku kulalamika nchi inazid kuyumba coz ya wat kama nyie mfyuuu
 
unachuki na mange wewe!.hata kwenye mambo ya muhimu unaleta chuki!.shame on u ndo mana kila siku kulalamika nchi inazid kuyumba coz ya wat kama nyie mfyuuu

Mama Kuleta Uhuru Maendeleo Africa Inakuwasha nini? Ebu achana na mimi. Chuki iko wapi hapo? Hayo matangazo ya voda unayaona ktk blog au? Mijitu mingine bana. Acha nikupotezeee tuu usijeniharibia siku bure
 
Umeona eeeh? Sababu ya kulinda matumbo yao inatufanya tukose uhuru wa kupiga umbea na kupashana habari.
Ngoja tu October ifike hata kama wakiahirisha lakini lengo ni lile lile la kuifuta kabisa CCM.

Yani wanalinda masilahi yao binafsi ili hata wakichakachua vitu wasisemwe eti hata kama una data za wizi wa Mali za umma usitoe Mpaka wa kupe kibali sasa hapo sikunyamazisha watu wasiongee.Naomba uzima tu mwezi wa kumi watajutraaaa nakwambia badala ya kutetea public interest wao wanajitetea kwa masilahi binafsi.
 
Sheria ipo very clear, inawalinda viongozi tuu. Weka hapa tuijadili. Pia uache ushabiki le mutuz unajifanya mjuaji mno kisa umeka America miaka 30, watu wangapi wamekaa nje. Sometimes unaongwa pumba mno
 
Watanzania wakimchukia mtu inakuwa km kilema, hata mtu akiongea sense hawaoni. Tunajua humpendi mengi, na ana yake mabaya mengi tuu ikiwemo kutukana watu kwenye blog yake.
Ila kwa hili acha ushabiki, ameongea point kabisa sababu serikali haitaki kukosolewa. Ulishawahi kusikia nchi ya wapi kuwa mtu aki access nyaraka za serikali na akazitumia kuikosoa serikali akahukumiwa kuwa ni kosa la jinai, hapo hujaona km ni U dictatorship?
Soma vizuri hiyo sheria ipo kwenye website ya bunge, km ww ni mvivu basi fuatilia bila ku comment kishabiki
 
Uelewa wa hii sheria naona tunatofautiana sana. Na hapa ndio kwenye tatizo. Naunga mkono sheria,sio ushabiki ni mawazo yangu na uelewa wangu.
 

delete ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…