Mange Kimambi awavaa January Makamba na Ridhiwani, Ajiunga rasmi 'Team Lowassa'

Le mutuz kwa habari zako za copy and paste na kuweka mapicha picha ya watu hovyo facebook na kwenye blog yako wewe ndio utakuwa wa kwanza kufungwa...

- Hahahaha hahaha look who is talking wewe subiri na ule uzushi uzushi wako hahahaha mtafungwa tu mwaka huu na kama nilivyosema kule Instagram anahitajika kufungwa mmoja tu habari itakuwa sawa sawa ya Sheria mpya, na wewe jichunge sana maana ni mzushi sana WAFWA U know!!

Le Mutuz
 
Sheria imesha sainiwa rasmi! hamna kupost tena ujinga miaka 15 jela na faini 30mill! wale wapuuzi wote akiongozwa na Mage hatutatarajia tena kuuona tena hapa sijui atapost kitu gani tena kwenye ki blog chake!
 

Really, nitafungwa???
Hivyo ndio vitisho tunavyovikataa na sheria zenu za kujilinda na familia zenu.
Hakuna cha personal attack that is the reality, kwa hii sheria mmekurupuka.
Tanzania sio kijiji, watu watastuka taratibu tuu.
Yupo wapu Gaddafi , si aliona ameibeba Libya. Mmeona kilichotikea Nigeria, hilo ni somo tosha.
Ww tupigie porojo tuu kuwa utawakosoa CCM wenzio wakikosea, na muda huo huo tutishe kuwa tutafungwa tukiwasema wamekosea.

Mana km sasa barabara zinajaa maji miundo mbinu haifanyi kazi, ukinyooshea kidole wizara husika, au mbunge wenu kuwa hafanyi kazi yake ipasavyo ugope kufungwa mana huna enough evidence km hafanyi kazi yake ipasavyo, Tanzania ya kusadikika.

Leo hii mtu akipiga kelele khs haki zake za msingi, anaonekana analialia ( in Le Mutuz voice). Serikali haijali wananchi wake ht kidogo.

Nini tumejifunza kutokana na uchaguzi wa Uingereza mwaka huu?

Sijui na ww ukipata ubunge utatuletea nini?

Usiku Mwema
 

Ccm kwa vitisho mnajiweza ila yote yanamwisho
 
Hii nchi ni yetu sote

Ila tunapoelekea tutakua hatuwezi ikosea serikali..madudu yote yakifanyika hakuna atakayetoa taarifa cos atafungwa. .u dictator unaanza taratibu
 

- Unakurupuka sana na unalia lia sana unacholilia ni haki ya kutukana viongozi na wananchi bila sababu mkuu isome tena sheria ukirudia tena kutukana watu bila sababu utafungwa au utalipa faini, Sheria imepitishwa na Wabunge ambao wameipitisha kwa kujali matakwa ya wananchi wengi wa Tanzania ama sivyo hii Sheria isingepita,

- Mifano yako ya Ghadafi na Nigeria haina mashiko kabisa Tanzania tuna Demokrasia kama unaona vipi unajitupa kwenye chama cha Siasa chochote unachotaka unagombea urais au ubunge ukabadilishe mambo, Ghadafi hakuwa na Demokrasia sasa utamlinganisha vipi na Tanzania?

- Haya maneno kuna mtu amekukaririsha na wewe unayarusha rusha tu bila kutumia akili yako Tanzania ni nchi huru ndio maana umepata hata uhuru wa kulalamika, ila kutukana Viongozi na Wananchi sasa mwisho kama huamini jaribu tena uone tena ninasikitika sana hajaweka Sheria ya kuchapwa Viboko ukiandika uongo ingesaidia zaidi mtu unakula bakora mpaka unashika adabu hahahahahah U know!!

LE Mutuz
 
Hii nchi ni yetu sote

Ila tunapoelekea tutakua hatuwezi ikosea serikali..madudu yote yakifanyika hakuna atakayetoa taarifa cos atafungwa. .u dictator unaanza taratibu

- Ukitoa taarifa za uongo utafungwa tu, ila ukitoa taarifa za ukweli hamna tatizo

Le Mutuz
 
Ina maana hii nchi ni ya ccm tu au mpaka yatokee machafuko ndio mtaachia nchi,unadhani kila chenye mwanzo hua na mwisho,hatuwezi ongozwa na chama kimoja miaka yoteee

Teh Teh nchi hii ni salama ikiwa mikononi mwa CCM!
Speaking of cyber law ni wakati wakupeleka maboresho na mapendekezo ili ifanyiwe marekebisho panapo hitajika!
Sheria imesha sainiwa tayari!
 

Ha Ha ha ha, unanitahadharisha???
Acha vitisho Le Mutuz,ukweli unauma eeh.

Hata Gadaf wakati analalamikiwa na wananchi wake aliwapa adhabu kubwa sio viboko tuu hsta kuua aliwaua

Pia una amini watatanzania hatuna akili, mtu akiongea sense amekaririshwa na ndio mana mmfefikia hatua ya kufanya mtakavyo.

Rais na watendaji wake wangekuwa wanasikiliza wananchi waliowaweka madarakani, wasingeipitisha sheria haraka hivyo. MMEKURUPUKA

Hii post imezungumziwa vizuri kwenye jukwaa la siasa. Muheshimiwa Le Mutuz kaungane na wenzio kule. Acha sie tuendelee na umbea
 
Wadanganyika Bwana ! Mfyuuu Mange wewe Mzalendo ! Mungu akulinde , hata wakijikausha vipi wataisoma tu ma usingizi hawatapata , :ranger:
 

kama wanauza unga wasisemwe? Sheria ya defamation ipo na ingetosha kabisa kumchukulia mange hatua, kama wanaotukanwa wangekuwa wanaweza kwenda kushtaki. Kukaa kwao kimya pamoja na matusi yote toka kwa mange inathibitisha kwamba ni wahusika wa hizo biashara-kuleta sheria za kutuziba midomo kusema vitu vinavyoliangamiza taifa kama hivi ni makosa makubwa-mange amefanya jukumu lake na historia itamkumbuka kwa hilo na hawa wengine kina makamba na le mutuz nao pia watakumbuka kwa yao
 

sawa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…