King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Le mutuz kwa habari zako za copy and paste na kuweka mapicha picha ya watu hovyo facebook na kwenye blog yako wewe ndio utakuwa wa kwanza kufungwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le mutuz kwa habari zako za copy and paste na kuweka mapicha picha ya watu hovyo facebook na kwenye blog yako wewe ndio utakuwa wa kwanza kufungwa...
- Ulianza na nguvu sasa umeishiwa kabisa, unasema hawa Wanasheria wote tunaowaona wanatanua hapa mjini baba zao waliwahi kuwa maraisi mbona unakuwa kama mgeni hapa mjini, unashindwa kuandika hoja za kutetea msimamo wako umebakia maneno maneno ya personal attacks pole sana, wale wote mnaolia lia na hii sheria tatizo moja kubwa ni hamna hoja ila mna kelele kama za mlango, mimi siwezi kusumbuliwa na Sheria yoyote ya nchi kwa sababu mimi sio mvunja sheria,
- Mkuu naomba nikuambie one thing hii sheria mpya ukifanya mchezo utafungwa kweli maana huwezi tena kuja hapa kuzusha zusha ujinga bila FACTS au EVIDENCE utafungwa tu!! na utaburuzwa tu mpaka ujifunze kuandika na RESPONSIBILITY
Le Mutuz
- UKAWA ikishika hatam mimi nitahamia Rwanda kwa kweli hahahahah
Le Mutuz
- UKAWA ikishika hatam mimi nitahamia Rwanda kwa kweli hahahahah
Le Mutuz
Dah aisee sikuwahi msoma huyu mdada huwa namsikia tuu. She has brain aisee. nimependa alivyo tiririka na kuweka ushaidi and the way she is objective. Good stuff
- Hahahaha hahaha look who is talking wewe subiri na ule uzushi uzushi wako hahahaha mtafungwa tu mwaka huu na kama nilivyosema kule Instagram anahitajika kufungwa mmoja tu habari itakuwa sawa sawa ya Sheria mpya, na wewe jichunge sana maana ni mzushi sana WAFWA U know!!
Le Mutuz
Really, nitafungwa???
Hivyo ndio vitisho tunavyovikataa na sheria zenu za kujilinda na familia zenu.
Hakuna cha personal attack that is the reality, kwa hii sheria mmekurupuka.
Tanzania sio kijiji, watu watastuka taratibu tuu.
Yupo wapu Gaddafi , si aliona ameibeba Libya. Mmeona kilichotikea Nigeria, hilo ni somo tosha.
Ww tupigie porojo tuu kuwa utawakosoa CCM wenzio wakikosea, na muda huo huo tutishe kuwa tutafungwa tukiwasema wamekosea.
Mana km sasa barabara zinajaa maji miundo mbinu haifanyi kazi, ukinyooshea kidole wizara husika, au mbunge wenu kuwa hafanyi kazi yake ipasavyo ugope kufungwa mana huna enough evidence km hafanyi kazi yake ipasavyo, Tanzania ya kusadikika.
Leo hii mtu akipiga kelele khs haki zake za msingi, anaonekana analialia ( in Le Mutuz voice). Serikali haijali wananchi wake ht kidogo.
Nini tumejifunza kutokana na uchaguzi wa Uingereza mwaka huu?
Sijui na ww ukipata ubunge utatuletea nini?
Usiku Mwema
Hii nchi ni yetu sote
Ila tunapoelekea tutakua hatuwezi ikosea serikali..madudu yote yakifanyika hakuna atakayetoa taarifa cos atafungwa. .u dictator unaanza taratibu
Ina maana hii nchi ni ya ccm tu au mpaka yatokee machafuko ndio mtaachia nchi,unadhani kila chenye mwanzo hua na mwisho,hatuwezi ongozwa na chama kimoja miaka yoteee
- Ukitoa taarifa za uongo utafungwa tu, ila ukitoa taarifa za ukweli hamna tatizo
Le Mutuz
- Ukitoa taarifa za uongo utafungwa tu, ila ukitoa taarifa za ukweli hamna tatizo
Le Mutuz
- Unakurupuka sana na unalia lia sana unacholilia ni haki ya kutukana viongozi na wananchi bila sababu mkuu isome tena sheria ukirudia tena kutukana watu bila sababu utafungwa au utalipa faini, Sheria imepitishwa na Wabunge ambao wameipitisha kwa kujali matakwa ya wananchi wengi wa Tanzania ama sivyo hii Sheria isingepita,
- Mifano yako ya Ghadafi na Nigeria haina mashiko kabisa Tanzania tuna Demokrasia kama unaona vipi unajitupa kwenye chama cha Siasa chochote unachotaka unagombea urais au ubunge ukabadilishe mambo, Ghadafi hakuwa na Demokrasia sasa utamlinganisha vipi na Tanzania?
- Haya maneno kuna mtu amekukaririsha na wewe unayarusha rusha tu bila kutumia akili yako Tanzania ni nchi huru ndio maana umepata hata uhuru wa kulalamika, ila kutukana Viongozi na Wananchi sasa mwisho kama huamini jaribu tena uone tena ninasikitika sana hajaweka Sheria ya kuchapwa Viboko ukiandika uongo ingesaidia zaidi mtu unakula bakora mpaka unashika adabu hahahahahah U know!!
LE Mutuz
- Ukitoa taarifa za uongo utafungwa tu, ila ukitoa taarifa za ukweli hamna tatizo
Le Mutuz
Objective? How
ndo hilo nililosema mie mfano hapo kwenye post yake kamuingiza shamim kua mmewe muuza ssmbe jamani kwa style hii tukiletewa sheria km hizi kali tunajifanya kutafuta sympathy
yaweza kua mbaya ila kwa watu km mange mi ht ikipitishwa sisemi
maana blog yake ni centre ya matusi kwa wadada wenzie
kama wanauza unga wasisemwe? Sheria ya defamation ipo na ingetosha kabisa kumchukulia mange hatua, kama wanaotukanwa wangekuwa wanaweza kwenda kushtaki. Kukaa kwao kimya pamoja na matusi yote toka kwa mange inathibitisha kwamba ni wahusika wa hizo biashara-kuleta sheria za kutuziba midomo kusema vitu vinavyoliangamiza taifa kama hivi ni makosa makubwa-mange amefanya jukumu lake na historia itamkumbuka kwa hilo na hawa wengine kina makamba na le mutuz nao pia watakumbuka kwa yao