Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

haaaaa haaaaa haaaaa
trillion 3 hela!!!!?
acha uongo net worth ya 50 cent haifiki hata $ 500 million sasa hiyo trillion 3 aliziingiza mwaka gani?
Kasome Google Bro unakuwa mbishi umesomaa,!?
Nikusaidie andika 50 cent on making power series profit margin
 
Kwa maongezi yako a uhakika hauko America, kwa mimi niliye ishi America natambua kwanza ni jambo la aibu sana kusema eti mimi na rafiki zangu tunaongelea Jay Z halafu isitoshe unapokua nje una kua una miss mamo ya Tanzania home,, garbage yoyote toka Tanzania ni dili , usitudanganye wewe
 
Unafosi maisha yangu yafanane na yako ili iweje labda?!
Pambana na hali yako Bro
Hao celeb was marekani nimetolea mfano hapa kwasababu wengi mnawafahamu ningewataja msiowafahamu ingekuwa kesi kabisaa kifupi hatufanani kimaisha pole sana
 
Umejuaje birthday ya Mange
 
Safii, naona unatekeleza
 
Hakuna ushamba mbaya kama ule wa kutaka uonekane au ujulikane kwa watu kwamba wewe ni mtu wa aina fulani,ubaya wa huu ushamba ni kwamba hata kama kweli wewe ni mtu wa aina hiyo ila kitendo cha kutaka watu wakujue hivyo inaonesha una ushamba wa kuzaliwa mfano kama Le mutuz mmoja wa watu wenye ushamba wa kuzaliwa, na ni ushamba mbaya sana sawa na ugonjwa usio na tiba.
 
Kasome Google Bro unakuwa mbishi umesomaa,!?
Nikusaidie andika 50 cent on making power series profit margin
Ingekuwa kweli 50cent angekuwa kwenye list ya mabilionea kitu ambacho hata pdiddy bado hajafanikiwa.
Maana tilion 3 ungezibadiri kwenye dollars unaongelea bilion dollars kadhaa.
Mpaka sasa hakuna mwana hip hop bilionea marekani
 
Kuwa mkweli tu,una genes ya utumwa na kuna siku utaenda kulea wazee ulaya wakati mamio hana kadi ya bima ya afya!
 
Waambie japokua hawatakubali, lkn ni watumwa wa kiwango cha juu cha utumwa.
 
wewe kama mimi,the only news nazofatilia ni ishu za kuhusu nchi yangu na viongozi wangu waliopo madarakani na mwisho ni kuwaombea waliongoze Taifa vyema,social media tupa kule ujinga/upupu mtupu umejaa huko.
 
colonial mentality.
"the battle always is the battle of the mind,if your mind is conquered then,you are going nowhere"plo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…