King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaahaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nyambaf sanNah..!! Amna alienuna Humu...wote wanashangaa Ukoo wa nabii Titto On[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji125][emoji125]
Hahahaaa aya bhanakwa speed hio ya kusupport vitu vya kitoto havinipi hela bora nibakie raia tu!
Hapo kwa diamond kuuza karanga ndio nimekuona bogus kabisaaakwasababu wabongo ndio wameanza 0 lakini kwa time waliochukua kuwa celebs hakuna walichotengeneza kinachomfanya mtz anaetaka kuwa msanii ajifananishe nao!
mbona akina Shilole sijaskia walitamani kuwa kama Lady Jay Dee?
time limit waliotumia kuupata umaarufu mpaka sasa hakuna walichokifanya cha maana... bora tu tuangaliage wasanii wa mbele kuwasaidia celebs wetu!
ni sawa na wewe kuchukia bongo movie na kupenda movie za kichina za kutafsiri!
hakuna cha kujifunza kwa celebs wetu
sasa kweli Diamond ni wa kuuza KARANGA kwa level yake? we unaona Jay Z au Rick Ross anauza karanga america? acheni utani buana!
Dongo gizaniVitu vya maendeleo havina nafasi kwa wabongo.
Wabongo wako busy na ushilawadu wakiongozwa na rais wao.
Ukitaka mijadala iliyo hot kwenye mitandao ni ile ihusuyo ngono na kila aina ya umbea.
Mijadala inayohusu uchumi, siasa ambayo ndio inayoamua maisha yetu ya kila siku zote hizi hazinaga hata wachangiaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] linakuhusu hiliDongo gizani
G umenichoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] linakuhusu hili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] W nakutania tuG umenichoka
[emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji23] [emoji23] [emoji23] W nakutania tu
Haka hapa chini!..taja 1 tu mupenzi nikuskie
Unakumbuka mada zako ulizoleta kuhusu Wolper na ile ya kusaga!?.Wabongo wanamuda jamaani. .. tujaribu kudiscuss vitu vya maendeleo zaidi hao mnaowadiscuss mnawaingizia fedha alafu unatoka kapa si bora udiscuss mtu ukamwingizia hela inakusaidia kujifunza kitu ukapata idea ukatengeneza kitu kikakuingizia pesa ambayo haukutegemea na idea unique...
Cardi lilikuwa li striper hko but now mchek uone alipofikaSoma tena uzi
Nikuulize ushamfollow Mfano wema sepetu kuanzia anapokuwa maarufu mpaka sasa alichoachieve kuwa maarufu
Mchukue msanii mpya kama Taraji P. HENSON alipoanza mpaka sasa pima muda utaona ni sawa na wema tu
Au Mchukue mwanamziki Cardi B na Shilole Au Wolper alafu linganisha muda was umaarufu wao na maisha yao ukijumlisha na changamoto walizokutana nazo uone wapo wapi
Msisingizie ulaya mana technology ipo dunia nzima
Linganisha alafu uone kwanini nisipoteze muda kuwafollow celebs za wobongo mana hainilipi!
Bora nijifunze marketing team ya Beyonce inavyofanya kazi kuliko ya Lady Jay Dee nibora nijifunze marketing team ya Taraji P. HENSON (COOKie LION WA EMPIRE) kuliko kucheki team ya Sepenga inavyofanya kazi tuwe realistic jaman Bongo ina mazingirA mazuri ya kutoa vishoka na maendeleo support tunawapa sana sie raia lkn sijui shida iko wap jaman doh
wewe uliejifunza kutoka kwao mpaka sasa una nini cha kujivunia hata mbele za watu?Nenda kaangalie YouTube au wikipedia bibliography ya hao watu walipotoka mpaka sasa na wamefanya vitu gani kwenye maisha na Jamii yao uone kama utalala usingizi wewe!
Kama tu unapenda maendeleo
aaah bongo NyosoHaujakosea nipo juu Bro haitakaa ibadilike labda Mungu abadilishe mwenyewe
Me huwa simuelewi kabisa huyu Money PennyTena ya ajabu kuliko wema sepetu,,malink meusiiiiii
asipoelewa basi anye tikitiHapo sasa ndipo unakosea tena unakosea sana tena sana.
Yani unacompare kichuguu na ghorofa, kwa hali ilivyo huezi ringanisha mafanikio ya msanii au mwanamichezo wa Marekani na Tanzania hizi ni nchi mbili tofauti zenye chumi mbili tofauti kabisa.
Yani unatak Diamond afanye biashara kama Jay Z, hata wanaijeria waliotutangulia kwenye soko la mziki wasanii wao hawana uwezo huo hata South Africa haiwezekani.
Unataka Shilole awe na mafanikio kama msanii aiyeanza naye mziki wakati mmoja huko Marekani?
aisee yani umenistaajabisha sana sana tena sana.
Marekani actor akiigiza movie analipwa ela ya maana budget ya filamu ni millions of dollars, tanzania movie budget yake ikiwa million 50 basi watu wanasema imewacost sana hivyo ona tofauti hiyo.
Bakhresa kutokana na jarida la forbes ni tajiri wetu hapa japo siyo namba moja Tanzania lakini still, utajiri wake haulingani na utajiri alionao Pdidy wala Dr Dre ndipo uone utofauti uliopo kati yetu sisi na wao.
unahisi hizo script unazoziandika na sijui hadithi za mapenzi hapa Tanzania utakuja kufanikiwa kama hao watu unaowasoma?
Aisee unafurahisha sana sana yani tena siyo kidogo.
Akina diamond, Shilole Alikiba wamefanya anavyoweza kutokana na soko na uwezo wa hali ya Kitanzania usiwacompare na wakina Jayz ambako mtu akitoa single moja ika hit basi yeye mauzo na shows zake ndani miezi kadhaa ana pesa kuliko diamond.
Wewe unaongelea waafrica from shitholes mimi zaidi ya ndugu zangu, sifatagi ngozi nyeusi.Ndio watu walionizunguka nafanyaje hawataki kudiscuss celebs wakibongo
haaaaa haaaaa haaaaakama extra kama hobby ila anatengeneza series ya POWER imemuingizia Trilion 3 kasome wikipedia!
Mondi kitu gani kimemuingizia Trilion 3?!