Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

Vipi umemfollow Huyu?

Juju (@iamjuju_) • Instagram photos and videos

JUJU.jpg
 
kwasababu wabongo ndio wameanza 0 lakini kwa time waliochukua kuwa celebs hakuna walichotengeneza kinachomfanya mtz anaetaka kuwa msanii ajifananishe nao!

mbona akina Shilole sijaskia walitamani kuwa kama Lady Jay Dee?

time limit waliotumia kuupata umaarufu mpaka sasa hakuna walichokifanya cha maana... bora tu tuangaliage wasanii wa mbele kuwasaidia celebs wetu!

ni sawa na wewe kuchukia bongo movie na kupenda movie za kichina za kutafsiri!

hakuna cha kujifunza kwa celebs wetu

sasa kweli Diamond ni wa kuuza KARANGA kwa level yake? we unaona Jay Z au Rick Ross anauza karanga america? acheni utani buana!
Hapo kwa diamond kuuza karanga ndio nimekuona bogus kabisaaa
Aiseee ....
 
Vitu vya maendeleo havina nafasi kwa wabongo.

Wabongo wako busy na ushilawadu wakiongozwa na rais wao.

Ukitaka mijadala iliyo hot kwenye mitandao ni ile ihusuyo ngono na kila aina ya umbea.

Mijadala inayohusu uchumi, siasa ambayo ndio inayoamua maisha yetu ya kila siku zote hizi hazinaga hata wachangiaji
Dongo gizani
 
taja 1 tu mupenzi nikuskie
Haka hapa chini!..
Wabongo wanamuda jamaani. .. tujaribu kudiscuss vitu vya maendeleo zaidi hao mnaowadiscuss mnawaingizia fedha alafu unatoka kapa si bora udiscuss mtu ukamwingizia hela inakusaidia kujifunza kitu ukapata idea ukatengeneza kitu kikakuingizia pesa ambayo haukutegemea na idea unique...
Unakumbuka mada zako ulizoleta kuhusu Wolper na ile ya kusaga!?.
 
Mi bongo sijamfollow celebrity yeyote...mi wanangu nao waelewa wa kina 69xine, lil pump, Uzi vert, Kodak black, lil yatchy,21savage and so
 
Soma tena uzi

Nikuulize ushamfollow Mfano wema sepetu kuanzia anapokuwa maarufu mpaka sasa alichoachieve kuwa maarufu

Mchukue msanii mpya kama Taraji P. HENSON alipoanza mpaka sasa pima muda utaona ni sawa na wema tu

Au Mchukue mwanamziki Cardi B na Shilole Au Wolper alafu linganisha muda was umaarufu wao na maisha yao ukijumlisha na changamoto walizokutana nazo uone wapo wapi

Msisingizie ulaya mana technology ipo dunia nzima

Linganisha alafu uone kwanini nisipoteze muda kuwafollow celebs za wobongo mana hainilipi!

Bora nijifunze marketing team ya Beyonce inavyofanya kazi kuliko ya Lady Jay Dee nibora nijifunze marketing team ya Taraji P. HENSON (COOKie LION WA EMPIRE) kuliko kucheki team ya Sepenga inavyofanya kazi tuwe realistic jaman Bongo ina mazingirA mazuri ya kutoa vishoka na maendeleo support tunawapa sana sie raia lkn sijui shida iko wap jaman doh
Cardi lilikuwa li striper hko but now mchek uone alipofika
 
Nenda kaangalie YouTube au wikipedia bibliography ya hao watu walipotoka mpaka sasa na wamefanya vitu gani kwenye maisha na Jamii yao uone kama utalala usingizi wewe!

Kama tu unapenda maendeleo
wewe uliejifunza kutoka kwao mpaka sasa una nini cha kujivunia hata mbele za watu?
 
Hapo sasa ndipo unakosea tena unakosea sana tena sana.
Yani unacompare kichuguu na ghorofa, kwa hali ilivyo huezi ringanisha mafanikio ya msanii au mwanamichezo wa Marekani na Tanzania hizi ni nchi mbili tofauti zenye chumi mbili tofauti kabisa.
Yani unatak Diamond afanye biashara kama Jay Z, hata wanaijeria waliotutangulia kwenye soko la mziki wasanii wao hawana uwezo huo hata South Africa haiwezekani.
Unataka Shilole awe na mafanikio kama msanii aiyeanza naye mziki wakati mmoja huko Marekani?
aisee yani umenistaajabisha sana sana tena sana.
Marekani actor akiigiza movie analipwa ela ya maana budget ya filamu ni millions of dollars, tanzania movie budget yake ikiwa million 50 basi watu wanasema imewacost sana hivyo ona tofauti hiyo.
Bakhresa kutokana na jarida la forbes ni tajiri wetu hapa japo siyo namba moja Tanzania lakini still, utajiri wake haulingani na utajiri alionao Pdidy wala Dr Dre ndipo uone utofauti uliopo kati yetu sisi na wao.
unahisi hizo script unazoziandika na sijui hadithi za mapenzi hapa Tanzania utakuja kufanikiwa kama hao watu unaowasoma?
Aisee unafurahisha sana sana yani tena siyo kidogo.
Akina diamond, Shilole Alikiba wamefanya anavyoweza kutokana na soko na uwezo wa hali ya Kitanzania usiwacompare na wakina Jayz ambako mtu akitoa single moja ika hit basi yeye mauzo na shows zake ndani miezi kadhaa ana pesa kuliko diamond.
asipoelewa basi anye tikiti
 
kama extra kama hobby ila anatengeneza series ya POWER imemuingizia Trilion 3 kasome wikipedia!

Mondi kitu gani kimemuingizia Trilion 3?!
haaaaa haaaaa haaaaa
trillion 3 hela!!!!?
acha uongo net worth ya 50 cent haifiki hata $ 500 million sasa hiyo trillion 3 aliziingiza mwaka gani?
 
Back
Top Bottom