Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #121
so?!kumbe unaongelea utitiri wa vitu, wenzako hao unaowasema hao wa mbele script ya movie moja analipwa ela ya maana zaidi ya Bilion za Kitanzania
alianza na bilioni? kaangalia walipoanza kuandika script ndani ya miezi 6 walilipwa bei gani?
afu uje ukae mezani na ulinganishe na yangu uone kama hatukufanana!