PostGE2025 Mange Kimambi: Disemba 9 fanyeni maandamano ya amani ya nchi nzima, sio Gen Z tu kila mtu atoke

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Honestly kwa mauaji yaliyofanyika, kuna watu ni wahalifu wanatakiwa kufungwa, hata katiba haiwezi kuwalinda Tena
 
Maandamano Halali ni yapi?

Naomba msaada wako
 
Umoja wa kuibia nchi ufisadi ulikomaa
Hukuna umoja na wezi wa kura na wauwaji
Lazima tukatae uhuni kwenye nchi yetu
Fisadi mamvi si aliwanunua kwa 12b mkampa tiketi ya kugombea,tuwaamini vipi kuwa mnachukia ufisadi?
 
Kichwa cha habari kiko wazi.

Ili kufanikisha maandamano tajwa, waandamanaji waanzie kwenye sehemu zenye misongamano ili kuepuka majambazi wa serikali kujipenyeza na kuyadhibiti na kuyavuruga.

Ukitaka kuficha mti, ufiche msituni. Ni ushauri tu.
 
Mtakufa wengi tu na CCM itabaki hapo hapo. Mabadiliko hayawezi kulewa na malaya alie america.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…