tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Niunganishe basi na kitengo cah counter offensive nami nijipatie kipato ila shart iwe 100k kwa sikuRoho za kimasikini bwana!
Yaan umeongea bonge la point.Sema mafisadi ni mazuzu, haya magari wana enda kuendesha barabara zipi?
hata service bongo ni mbingu na ardhi, au ndiyo kuyabeba kwa ndege yaende south Africa!
Huku ni barabara za Toyota na Subaru 😹😹Sema mafisadi ni mazuzu, haya magari wana enda kuendesha barabara zipi?
hata service bongo ni mbingu na ardhi, au ndiyo kuyabeba kwa ndege yaende south Africa!
Kodi za wananchi hizo we chawa ujue.Roho za kimasikini bwana!
wewe nchi inaongozwa na form 4 failure na mtu mwenye elimu mbali mbali unategemea akili wazitoe wapiSema mafisadi ni mazuzu, haya magari wana enda kuendesha barabara zipi?
hata service bongo ni mbingu na ardhi, au ndiyo kuyabeba kwa ndege yaende south Africa!
Machawa wa bibi manyonyo shida mnayo huu mwaka. Tafuteni kazi nyingine aisee 😂😂😂Roho za kimasikini bwana!
Gharama ndogo za service ya Ferrari ni usd 1000, hupanda hadi usd 9000 kwa awamu 1.Huku ni barabara za Toyota na Subaru 😹😹
Sema mwizi akiwa na fedha ambazo hajazitolea jasho chochote anafanya..!!
kwa siku hizi ni ngumu kuhifadhi pesa Uswizi, tangu zile kashfa walizotupiwa kuwa benki za uswizi kutumika kuhifadhi au kutakatisha pesa haramu za watu wakubwa, walianzisha sheria ngumu sana, za kuhakiki uhalali wa pesa za mteja yoyote anayetaka kuweka fedha umo, na mbaya zaidi nchi nyingi za nje zikaipenda hyo sheria na kuitumia kwao pia, hivyo imekuwa ngumu sana kuhifadhi pesa haramu kwa benki za nje.Yaan umeongea bonge la point.
na wala hata sio assets, hizo hela si wangeweka uswizi, yani hawa ni washamba grade A,
Msiwaone watanganyika ni wajinga,alafu nyinyi ndio mnaakiliRoho za kimasikini bwana!