Mange Kimambi: Kampuni ya Magmop ya Angela Kiziga imeingiza magari ya $ Milioni 19 ikiwemo Ferrari na Bugati ndani ya mwaka 1

Mange Kimambi: Kampuni ya Magmop ya Angela Kiziga imeingiza magari ya $ Milioni 19 ikiwemo Ferrari na Bugati ndani ya mwaka 1

Ingependeza akina balile waje wa discredit these allegations na baba yao gereshoni.

Unajua Marekani wale matajiri hasa weusi wacheza mpira wanamuziki mpaka wauza ngada ndio huwa na akili fupi za kuflash blingbling na magari ya bei mbaya.

Ukikuta msomi tena mtumishi wa.umma ana tabia hizo ujue.pia afya ya akili haiko sawa.

This too shall pass let the will of god reigns
 
Ccm waliamin wakiminya wapinzan na vyombo vya habari kama Mwanahalisi wamemaliza kila kitu,kumbe bado kuna shida kubwa tu lazima madudu yaibuke
 
Naona hata nikongeza maneno yangu nitaharibu

Anaandika Mange Kimambi kupitia ukurasa wake wa Instagram:

Sasa ni hivi ingieni kwenye page ya Hilda Newtown. Lazma utype jina la account yake zima kwenye search ndo account inakuja.

Angalieni hiyo number ya simu ya Angela Kizigha. Sasa fanya kama unataka kutuma pesa Kwenye hiyo number, utaona imesajiliwa kwa jina la kampuni inaitwa Magmop Company Limited. Sasa ingia kwenye website za world trade databse (www.tradevision.com) alafu ingiza jina la hii kampuni, inakuonyesha magari yaliyoingizwa nchini na hii kampuni.

Ndani ya mwaka mmoja hii kampuni imeingiza magari yenye thamani ya $ milioni 19. Mpaka Bugatti Cheron wameingiza, na mayenyeRolls Royce na na Bentley na ma ferrari.

Ndugu zangu ndio maana serikali hiii iko tayari kuuwa wananchi kuliko kutoa haki na kuachia madaraka.
Tarehe 9 December nchi nzima lazima tuingie barabarani tuwaondoe hawa watu. Maandamano no ya amani, kila mtu atoke na bango lake.

View attachment 3503003

View attachment 3503004View attachment 3503005
Kaingiza ya almost billon 70
 
Back
Top Bottom