Mafisadi yakiugua yanatibiwa India na UK , Muhimbili watatibiwa watanganyika wa kawaida hivyo haiwahusu .Billioni 46 na ushee za kitanzania. Hiyo si Unajenga Muhimbili nyingine kabisa?
Mafisadi yakiugua yanatibiwa India na UK , Muhimbili watatibiwa watanganyika wa kawaida hivyo haiwahusu .Billioni 46 na ushee za kitanzania. Hiyo si Unajenga Muhimbili nyingine kabisa?
Utakuta wameweka uswizi mpaka wamechokaYaan umeongea bonge la point.
na wala hata sio assets, hizo hela si wangeweka uswizi, yani hawa ni washamba grade A,
Tafuteni hela wacenge nyinyi,roho mbaya na husda kwa wenye nacho haiwasaidiiWezi mnaibia hao maskini, wakihoji mnaita roho za kimaskini, lazima mtakuwa wehu nyie
Wenye nacho my ass&$, wezi watupu msio na aibu, mna laana nyieTafuteni hela wacenge nyinyi,roho mbaya na husda kwa wenye nacho haiwasaidii
Wakati wenzenu wanatunza mitaji na kuikuza, nyinyi mlikua mkinywa bia,kufunga bar na kuhongaWenye nacho my ass&$, wezi watupu msio na aibu, mna laana nyie
Mazuzu sana ni afadhali hizo hela wangewekeza kwa kufungua maviwanda na kutoa ajira kwa vijana angalau wangepunguza kelele. Mafano wazungu wanaiba mali huku afrika wanaenda kuwekeza kwenye mataifa yao.Sema mafisadi ni mazuzu, haya magari wana enda kuendesha barabara zipi?
hata service bongo ni mbingu na ardhi, au ndiyo kuyabeba kwa ndege yaende south Africa!