Mange kimambi kugombea ubunge 2020?

Mange kimambi kugombea ubunge 2020?

ni mchapakazi sikatai......ila wananchi watateseka sana.busara alinyimwagwa,visirani visivyoisha,ugomvi kila uchao
OMG
Mchapakazi!!!???
Anachapia wapi kazi?
Mtu anayepotea insta pale tu anapokua amelala?
Kiufupi Mange ni a waste bullet?
Ana uwelewa mzuri wa mambo sikatai ila kinachosikitisha ni jinsi anavyomalizia muda,utu,heshima,nguvu na heshima yake instagram.

Anaandika mipost mirefu,mikoment mirefu faida anayopata sijui hata ni nini.

She is a social reject,anatia huruma na anahitaji kuwekwa kwenye maombi.

Mungu nisamehe ila nahisi ananuka,honestly mi nahisi mara nyingi tu analala bila kuoga sbb anakua busy sana insta hapati muda wakuoga na kusafisha nyumba.Niliona video jikon kwake kuchafu jaman aibu.

Matusi anayotukana sasa mmmh sijawahi ona wakumlinganisha.
 
Hiyo mansion kando kando ndo pale kituo cha basi mbezi-rafia, pale si ndo pana "jinamizi" la wivu la mzee wake au??
 
Na akishinda huo ubunge nahamia sudani for good
We scalethat uanze kupack na mabegi kabisa. Wenzio Marekani walijidai "ohhh Trump akishinda nahamia Canada" blah blah blah. Sasa hivi wanaifikiria safari ya Canada alafu picha inagoma kabisa kuja!!!
 
Eti anahisi akibadili uraia kaka zake ndio watakaomchoma kwa Lukuvi.
Yaani hili limwanamke bure kabisa.
Hivi hao kaka zake wakiona watajisikiaje?
Ukiwa na ndugu kama huyu katika familia uwe na moyo wa chuma tena chuma cha mjerumani.
Abafikiri kupata ubunge ni kama hizo likes anazoambulia huko instagram.
Aendelee tu kuota
Hapo alipoandika kaka aake anatania. Uwa wanataniana sana hasa yule Bonge. Wakati mwingine inabidi kumuelewa sana. Ni mtu wa utani.
 
Hivi Mange ni nani? Celebrate?? Ni mwanamuziki? ? Au bongo movie? ?
Ni celebrity Mkubwa tu hapa Tz. She is the the best "Female Bloger" ana miliki "U TURN Blog. Ma Miss Tanzania wengi wa kipindi hicho yeye ndiyo aliwaweka kwenye Mainstream. Kama Nancy Sumari, Wema Sepetu, Faraja Nyalandu n.k. U ki mgoogle wanakupa wasifu wake wote. Ahsante.
 
Asante, blog yake inaitwaje mkuu? Mbona siyo popular kama Issa michuzi au Millard Ayo? ?
 
Akiacha kabisa mamboya mipasho na umbeya..basi ni mwanamke jasiri , inteligent na muelewa wa hali ya kisiasa Tanzania.
Akianza sasa kubadilika na namna ambavyo anajua kupanga point zake basi ni wazi anaweza kufika mbali. Aache mambo ya bullying.
Aanze kujifunza sasa kustahamili kisisasa maana kwenye kampeni wapinzani wake wanaweza kumchokonoa kabisa ili wamtoe kwenye mstari ...lakini kama atasimama bila kuwa intimidated basi atashinda
 
Hongera Mange,Hongera Mwanamke mwenzangu kwa Mawazo ya ki Hilary , pamoja na mapungufu yoote uliyonayo kama Binadamu wengine wewe bado unabaki kuwa jasiri na mwenye uthubutu wa kufanya au kunena jambo Fulani bila kujali uzito wake! Binafsi nakuombea 2020 uje utimize ndoto yako, I support you Mama Kenzo
 
Akiacha kabisa mamboya mipasho na umbeya..basi ni mwanamke jasiri , inteligent na muelewa wa hali ya kisiasa Tanzania.
Akianza sasa kubadilika na namna ambavyo anajua kupanga point zake basi ni wazi anaweza kufika mbali. Aache mambo ya bullying.
Aanze kujifunza sasa kustahamili kisisasa maana kwenye kampeni wapinzani wake wanaweza kumchokonoa kabisa ili wamtoe kwenye mstari ...lakini kama atasimama bila kuwa intimidated basi atashinda
Hawezi kuacha maana ndiyo tabia yake ni sawa na kumwambia aache kushinda mtandaoni
 
Hawezi kuacha maana ndiyo tabia yake ni sawa na kumwambia aache kushinda mtandaoni
Hivi wewe ni nani yake mpaka umnenee kwamba hawez kuacha!? Akiamua anaweza bora kuwa na Mbunge kama Mange mlopokaji kuliko kuwa na wabunge wa 10Mil. Wale mwanzo mwisho wanasujudu chama kuliko wapiga kura!
 
Akijibu hoja ya kwa nini hachukui uraia wa USA,Mange kupitia ukurasa wake wa Instagram alijibu anaogopa kuukana uraia wa Tanzania kwani atapoteza ndoto yake ya kugombea ubunge 2020
7c6d0b3606d41e22a1ab5d47d213d787.jpg
Labda ubunge wa instagram
 
Back
Top Bottom