OMGni mchapakazi sikatai......ila wananchi watateseka sana.busara alinyimwagwa,visirani visivyoisha,ugomvi kila uchao
Mchapakazi!!!???
Anachapia wapi kazi?
Mtu anayepotea insta pale tu anapokua amelala?
Kiufupi Mange ni a waste bullet?
Ana uwelewa mzuri wa mambo sikatai ila kinachosikitisha ni jinsi anavyomalizia muda,utu,heshima,nguvu na heshima yake instagram.
Anaandika mipost mirefu,mikoment mirefu faida anayopata sijui hata ni nini.
She is a social reject,anatia huruma na anahitaji kuwekwa kwenye maombi.
Mungu nisamehe ila nahisi ananuka,honestly mi nahisi mara nyingi tu analala bila kuoga sbb anakua busy sana insta hapati muda wakuoga na kusafisha nyumba.Niliona video jikon kwake kuchafu jaman aibu.
Matusi anayotukana sasa mmmh sijawahi ona wakumlinganisha.