Mange Kimambi matusi yake yanawadhalilisha wanawake ajabu wanayashangilia

Bora uongee wewe mkuu, wengi sana wanamsuport pamoja na contradicting maudhui yake. Ajitahidi atakama kukosoa basi atumie lugha ya kistaarabu sio matusi na kashfa. Sijui kama wale watoto wake hua wanaona posts zamamao hua wanafikiriaje
 
Mama pambana na mimba yako , vipi mzee anarudi lini china?
 
Bora uongee wewe mkuu, wengi sana wanamsuport pamoja na contradicting maudhui yake. Ajitahidi atakama kukosoa basi atumie lugha ya kistaarabu sio matusi na kashfa. Sijui kama wale watoto wake hua wanaona posts zamamao hua wanafikiriaje
Asante sana... Huyu dada hana aibu kabisa
 
According to Le Mutuz na watu wanaomjuwa baba yake Mange, ni kwamba demu baada ya kuona video ya baba yake analiwa tigo akachanganikiwa akili na ndiyo maana hajitambui mpaka hivi sasa. Mpeni pole tu.
 
According to Le Mutuz na watu wanaomjuwa baba yake Mange, ni kwamba demu baada ya kuona video ya baba yake analiwa tigo akachanganikiwa akili na ndiyo maana hajitambui mpaka hivi sasa. Mpeni pole tu.
Ndiyo kinampa hasira sana
 
Hivi hawezi kuwasilisha ujumbe bila matusi?!! Amekaa kiswahili swahili sana.
 
Mleta uzi kama unamkumbuka yule mama Prof. Kenya mtetezi wa mazingira alivua nguo hadharani viwanja vya uhuru park, bila shaka utaelewa mange anafanya nini.
 
mbona inaonekana kama wewe ndiye unayehitaji ushauri wa kisaikolojia maana MK naona anafanya shughuli zake consistently na wala sijamuona kutetereka. upande mwingine wewe unaweweseka kwamba MK ana matatizo. Napata shida sana jinsi watu wengine wanavyofikiri. labda na mimi nahitaji ushauri wa kisaikolojia
 
Tusi analiona yeye anayetukanwa,,kwangu mimi awatukane tu maan kuna baadhi ya watu hawajitambui..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…