Mange Kimambi matusi yake yanawadhalilisha wanawake ajabu wanayashangilia

mada kama hizi zinazidi kumpaisha
wewe akili yako itakua ndogo sana ktk upambanaji wa mitandaoni
 
Anadhalilisha wanawake kivipi? unajua maana ya kudhalilishwa kweli?
Fanyeni yenu mwacheni afanye yake
 
Amewashik pabaya tulizen mishono... Hawez kujamjadil mtu acye na influence kwny jamii. Mtoa post uctafute kick kw pikpik utaangukia pua
Hatutafuti kiki kwa huyu dada ila aache tabia yake mbaya ya matusi. Ugomvi wa kifamilia asilete kwenye mambo ya kitaifa.

Kifo cha baba yake kisiwe ndio kisingizio cha kutukana kila kiongozi wa Serikali.
 
Unadhalilisha wanawake kivipi? unajua maana ya kudhalilishwa kweli?
Fanyeni yenu mwacheni afanye yake
Kama hujui udhalilishaji anaoufanya kwa matusi yake basi utakuwa na shida upstairs
 
Daah yule manzi alimtukanaga Lowassa hatariiiiii,nyumbu wote wakafyata mkia aiseee
 
Bora uongee wewe mkuu, wengi sana wanamsuport pamoja na contradicting maudhui yake. Ajitahidi atakama kukosoa basi atumie lugha ya kistaarabu sio matusi na kashfa. Sijui kama wale watoto wake hua wanaona posts zamamao hua wanafikiriaje
Wakati anamtukana Lowasa akiwa CCM mliongea yote haya?
Mlishangilia na kupiga makofi ya kila aina,mliona matusi ndio dawa nzuri zaidi ya tramadol.
Ona sasa Magufuli anavotuburuza vibaya,kuna watu wanaoshangilia mwisho wa siku wanageukwa mchana kweupe.
 
According to Le Mutuz na watu wanaomjuwa baba yake Mange, ni kwamba demu baada ya kuona video ya baba yake analiwa tigo akachanganikiwa akili na ndiyo maana hajitambui mpaka hivi sasa. Mpeni pole tu.
Wewe ni Le vidolez mwenyewe najua maandishi yako,nilishakwambia kua mtukane Mange kama Mange usiwe unamtukana Baba yake mange kua aliliwa Tigo,anaeliwa Tigo ni wewe mwenyewe.
Mbona yeye ajawahi kumtukana Baba yako?
 
Hili neno



 
Unafata nini kwenye page yake kama sio kuwashwawashwa? Wanaomfuatilia mitandaoni ni watu wanaopenda content ya anacho andika, ukizingatia hizo ni accounts zake binafsi na hamlazimishi mtu kusoma wala kufuatilia anachopost.Hayo ni maisha yake binafsi na ana haki ya kujieleza kwa njia anayoona inamridhisha yeye, kama mkuu anavyotumia utashi wake kusema mtu hata kama hajui kusoma A kwake yeye ni msomi mzuri.
 
Hatutafuti kiki kwa huyu dada ila aache tabia yake mbaya ya matusi. Ugomvi wa kifamilia asilete kwenye mambo ya kitaifa.

Kifo cha baba yake kisiwe ndio kisingizio cha kutukana kila kiongozi wa Serikali.
Woga wa nn jipange nenda kwny page yke kamwambie mwnyw uone utavyorud umelowa.yle ni next level... I don't support ha bad words ila analeta burudani to be honest.... Imagine instagram without Mange..... Ooops!.... Undefined!
 
Woga wa nn jipange nenda kwny page yke kamwambie mwnyw uone utavyorud umelowa.yle ni next level... I don't support ha bad words ila analeta burudani to be honest.... Imagine instagram without Mange..... Ooops!.... Undefined!
Mange amebamba sio Ok.... but her bad and insults words hakika hiyo next level yake si kwa sisi wapenda amani
 
Hapangiwi cha kupost ila asije akarogwa akaingia kwenye anga zangu
Mange anadeal na heavy weight ndiyo maana unasikia na sirro nae analia nk nk ...hivyo wewe hujafikia kwenye level zake ukifika na kujimix atakuchapa tu!
 
Yanamdhalilisha mwanamke duniani. Hakika sijampenda kwa matusi yake.
Mnacomplicate tu maisha. Mwanamke yeye binafsi anatakiwa ajiheshimu ili asidhalilishwe.
 
Dunia kama kijiji hata kama ni maisha yake na hizo ni page zake na ana uhuru wa kujieleza anavyotaka sawa..... Lakini aache kutukana watu.
 
kwani kuna mtu analazimishwa kuingia page yake?kaweka private na bado mnatuma request....kila mtu ana njia yake ya kuwasilisha mawazo yake ukiona hupendi anavyowasilisha basi msiingie..magazeti yapo mengi yana IG accounts muyasome hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…