cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
mada kama hizi zinazidi kumpaishaMaajabu kwa baadhi ya wanawake wa kitanzania pamoja na matusi yote ya Mange hasa yakiwalenga wanawake lakini hao hao ndiyo wapambe na mashabiki wakubwa wa mwanadada huyo.
Ndiyo maana na yeye anaendelea na anapenda sana kuandika matusi mitandaoni kwasababu wapenzi wake wapo hasa hasa hao wanawake wenzake.
Mange anahitaji ushauri wa kisaikolojia ili akili yake itulie hasa kukosa ubunge wa viti maalumu na kupewa talaka kumemchanganya sana.
Mlioko karibu naye msaidieni huyo Mtanzania anayejifanya ni Mmarekani.
wewe akili yako itakua ndogo sana ktk upambanaji wa mitandaoni