Mange Kimambi matusi yake yanawadhalilisha wanawake ajabu wanayashangilia

Mange Kimambi matusi yake yanawadhalilisha wanawake ajabu wanayashangilia

Dunia kama kijiji hata kama ni maisha yake na hizo ni page zake na ana uhuru wa kujieleza anavyotaka sawa..... Lakini aache kutukana watu.
Yule alie waita watoto wa wenzie vilaza, akawaambia wahanga wa tetemeko kazi yao ni "katerero" ni sawa? Wenye mabango wakalale nayo na wake zao je ni sawa?
 
Yule alie waita watoto wa wenzie vilaza, akawaambia wahanga wa tetemeko kazi yao ni "katerero" ni sawa? Wenye mabango wakalale nayo na wake zao je ni sawa?
Maneno ya kawaida tu hayo.
 
Wewe ni Le vidolez mwenyewe najua maandishi yako,nilishakwambia kua mtukane Mange kama Mange usiwe unamtukana Baba yake mange kua aliliwa Tigo,anaeliwa Tigo ni wewe mwenyewe.
Mbona yeye ajawahi kumtukana Baba yako?


Sijawahi hata siku moja mtukana Mange, nimesema kile kilichomtokea baba yake. Uliza Le Mutuz na viongozi wa serikali watakuambia hii issue kama ni ya uwongo au kweli.
 
Maajabu kwa baadhi ya wanawake wa kitanzania pamoja na matusi yote ya Mange hasa yakiwalenga wanawake lakini hao hao ndiyo wapambe na mashabiki wakubwa wa mwanadada huyo.

Ndiyo maana na yeye anaendelea na anapenda sana kuandika matusi mitandaoni kwasababu wapenzi wake wapo hasa hasa hao wanawake wenzake.

Mange anahitaji ushauri wa kisaikolojia ili akili yake itulie hasa kukosa ubunge wa viti maalumu na kupewa talaka kumemchanganya sana.

Mlioko karibu naye msaidieni huyo Mtanzania anayejifanya ni Mmarekani.
Kabisa na hao wanao msaport wana akili kama za huyo betina wao. Ana wapotosha wabongo wakati yy yuko mbali kama kweli yy anauchungu na hiyo nchi si arudi aje kupiga debe hapo, anaishi kwa tax za wafanyakazi wa marekani (benefit) anadhania kafika.
 
Back
Top Bottom