Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina wahurumia sana wale watuNi mwendo wa kuhamisha magoli tu leo kwa vijana wa UFIPA.....Tuliwaambia mwanamke mwenye LAANA NA MCHAFU kama huyu kamwe hawezi ingiza nchi hii kwenye matatzo...Naishauri tu SERIKALI ICHUNGUZE CCTV CAMERA NA VIDEO MBALI MBALI ZA DIASPORA WOTE walioshiriki kwenye huu UHAINI NA KUCHAFUA TASWIRA YETU iwajue na iwaambie hatuwataki hapa nchini kwetu...Nina amini huko walipo wanajutia
Kuna waropokaji humu wanasema askari wamejazwa barabarani hili SI KWELI....tutupieni hizo picha za askari tofauti ya hizo za moshi na arusha(PHotoshop)......
Etii shujaaa duh!! Iq yako ni chini zaidi yake...jana kaonesha wafuasi wake ujinga wake live...hajui hata kuongea kaulizwa maswali mawili tu na voice of africa hajaweza hata kuyajibu. kwa uzoefu wangu huyu dada ni mlevi sana wa pombe kali....hongera sana Mange kitendo cha mapolice kukaa barabarani ni prove tosha kuwa ni wewe ni mwanamke shujaa... ....kwani nini wangapi wana Instagram account na serikali haiwatambui???? lol
Etii shujaaa duh!! Iq yako ni chini zaidi yake...jana kaonesha wafuasi wake ujinga wake live...hajui hata kuongea kaulizwa maswali mawili tu na voice of africa hajaweza hata kuyajibu. kwa uzoefu wangu huyu dada ni mlevi sana wa pombe kali....
Mbona hukwenda barabarani kumuunga mkono ila unajificha nyuma ya key bordMuulize Magufuli Mange ni nani?atakupa jibu murua,Muulize tena Magufuli Siwema 1234 wa jamii forums ni nani,sidhani kama utapata jibu,kwa heri.
Mbona hukwenda barabarani kumuunga mkono ila unajificha nyuma ya key bord
Kuna viazi vingi tu.Vingine vyaweza andikaNi mwendo wa kuhamisha magoli tu leo kwa vijana wa UFIPA.....Tuliwaambia mwanamke mwenye LAANA NA MCHAFU kama huyu kamwe hawezi ingiza nchi hii kwenye matatzo...Naishauri tu SERIKALI ICHUNGUZE CCTV CAMERA NA VIDEO MBALI MBALI ZA DIASPORA WOTE walioshiriki kwenye huu UHAINI NA KUCHAFUA TASWIRA YETU iwajue na iwaambie hatuwataki hapa nchini kwetu...Nina amini huko walipo wanajutia
Kuna waropokaji humu wanasema askari wamejazwa barabarani hili SI KWELI....tutupieni hizo picha za askari tofauti ya hizo za moshi na arusha(PHotoshop)......
Miongoni mwa VIONGOZI WA KAMATI KUU CHADEMA waliojionyesha hadharani kuunga mkono maandamano aliyoitisha MANGE(hapa ndipo tunaposema haya maandamano yalikuwa yanaratibiwa na chadema) ni huyu Msigwa....sasa tulio wengi tuna jiuliza mbona hajatekeleza kwa vitendo hata jimboni kwake kwa kuandamana?
Je,haoni hili linamfanya aonekane ni mnafiki.....kwa wananchi wake?
Pia haoni hili linamuondolea uhalali wa kusema wenzake vibaya?maana yeye mwenye kasema lakini kashindwa onyesha vitendo.....
Haoni pia hili litamuondolea kuaminika kwake tena kwa WATANZANIA pale BUNGENI?
Huyu nae aanze kujiandaa kiakili na kimwili...2020 Iringa mjini kwaheri
Hahhahahahhahahhahahhahahahhahahahhaha kama marekani labda lakini uk upuuzi huo haukwepo na ukizingatia ndio kwa mama na baba wa haki za binadamu. hapa kazi tuuuuna uhakika sikuwepo?
Hahhahahahhahahhahahhahahahhahahahhaha kama marekani labda lakini uk upuuzi huo haukwepo na ukizingatia ndio kwa mama na baba wa haki za binadamu. hapa kazi tuuu
Hakuna cha mwiba hapa. Kama anajiamini si aje Tz. Huko kanda ya ziwa kuna msemo " mange ni sawa na kipumulio(kijambio) kinachohamasisha wengine kujamba" halafu kikabaki constant after the reaction. Watanzania wanajua Magu anatupeleka wapi. Yeye aendelee kuwashwa huko insta
Hata ww mbona hivyo hivyo,, usiweke boriti ndani ya jicho lakoNi mwendo wa kuhamisha magoli tu leo kwa vijana wa UFIPA.....Tuliwaambia mwanamke mwenye LAANA NA MCHAFU kama huyu kamwe hawezi ingiza nchi hii kwenye matatzo...Naishauri tu SERIKALI ICHUNGUZE CCTV CAMERA NA VIDEO MBALI MBALI ZA DIASPORA WOTE walioshiriki kwenye huu UHAINI NA KUCHAFUA TASWIRA YETU iwajue na iwaambie hatuwataki hapa nchini kwetu...Nina amini huko walipo wanajutia
Kuna waropokaji humu wanasema askari wamejazwa barabarani hili SI KWELI....tutupieni hizo picha za askari tofauti ya hizo za moshi na arusha(PHotoshop)......
Miongoni mwa VIONGOZI WA KAMATI KUU CHADEMA waliojionyesha hadharani kuunga mkono maandamano aliyoitisha MANGE(hapa ndipo tunaposema haya maandamano yalikuwa yanaratibiwa na chadema) ni huyu Msigwa....sasa tulio wengi tuna jiuliza mbona hajatekeleza kwa vitendo hata jimboni kwake kwa kuandamana?
Je,haoni hili linamfanya aonekane ni mnafiki.....kwa wananchi wake?
Pia haoni hili linamuondolea uhalali wa kusema wenzake vibaya?maana yeye mwenye kasema lakini kashindwa onyesha vitendo.....
Haoni pia hili litamuondolea kuaminika kwake tena kwa WATANZANIA pale BUNGENI?
Huyu nae aanze kujiandaa kiakili na kimwili...2020 Iringa mjini kwaheri
Kajitia jambajamba mwenyewe. mimi nawashangaa wananyumbu hivi kweli kama alikuwa anampango wa maandamano kwanini apige tarumbeta nyuma ya keyboad? angepanga mipango kimyakimya watanzania tukashitukia wito wa masaa mawili tuu ya maandamano. Then kwann apange kipindi anachojua fika ni siku maalum ambayo majeshi yetu ya ulinzi na usalama yapo kwenye maandalizi ya muungano? alafu anakuja na slogan eti majeshi yapo maandalizi ya kupambana na maandamano. Huu ni ujinga wa hali ya juu ambao hauitaji elimu ya chuo kikuu ili kubaini na kujua kalenda ya matukio ya kitaifa, shenzi kabisa wote mmnao mfagilia mwanamke eti damange kasema duuh kweli mwezi umeandama msimu wa kuvuka mto umefikaHuyu dada mimi ninemkubali... Hata ukimtolea maneno ya shobo, hio haimuondolei ushujaa wake wa kuwatia watu jambajamba!
Umesikia alichosema?Hakika ujumbe wa Mange umefika penyewe!
Kama hiviHakika ujumbe wa Mange umefika penyewe!