Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa Serikali ya Magufuli

Ndio ajue asiwaamini ndugu zake watanzania. Hajui kuwa hakuna way wanafiki kama sisi. Usiku wamepost kuwa wanahamu ya leo, imefika leo hakuna kiumbe barabarani.

Hicho kibibi kitafeli kama anavyoendelea kufeli Bashy kwenye harakati zake uchwara.
 
Nina wahurumia sana wale watu
 
Ni vizuri kijifariji eti huyu mtalaka ni mwiba kwa serikali, serikali ipi ya Magufuli? Yeye alie tu. Wananchi tunataka maendeleo ya kiuchumi na tunaona yanavyoletwa haraka na serikali hii. Eti mdada mmoja audanganye umma wa wTZ? Leo kaipata fresh kuanzia ndani ya TZ na nje kwenye balozi.
 
hongera sana Mange kitendo cha mapolice kukaa barabarani ni prove tosha kuwa ni wewe ni mwanamke shujaa... ....kwani nini wangapi wana Instagram account na serikali haiwatambui???? lol
Etii shujaaa duh!! Iq yako ni chini zaidi yake...jana kaonesha wafuasi wake ujinga wake live...hajui hata kuongea kaulizwa maswali mawili tu na voice of africa hajaweza hata kuyajibu. kwa uzoefu wangu huyu dada ni mlevi sana wa pombe kali....
 
Etii shujaaa duh!! Iq yako ni chini zaidi yake...jana kaonesha wafuasi wake ujinga wake live...hajui hata kuongea kaulizwa maswali mawili tu na voice of africa hajaweza hata kuyajibu. kwa uzoefu wangu huyu dada ni mlevi sana wa pombe kali....

Muulize Magufuli Mange ni nani?atakupa jibu murua,Muulize tena Magufuli Siwema 1234 wa jamii forums ni nani,sidhani kama utapata jibu,kwa heri.
 
Muulize Magufuli Mange ni nani?atakupa jibu murua,Muulize tena Magufuli Siwema 1234 wa jamii forums ni nani,sidhani kama utapata jibu,kwa heri.
Mbona hukwenda barabarani kumuunga mkono ila unajificha nyuma ya key bord
 
Kuna viazi vingi tu.Vingine vyaweza andika
 
Hahhahahahhahahhahahhahahahhahahahhaha kama marekani labda lakini uk upuuzi huo haukwepo na ukizingatia ndio kwa mama na baba wa haki za binadamu. hapa kazi tuuu

sijui kilichokutekenya ni nini,prove sikuwepo kwenye maandamano,umeshindwa
 

Wewe na familia yako tu, usifananishe watanzania na mambo ya kijinga kama ya familia yako
 
Inaonekana bado tunayatamani na roho zinatusuta. Labda mjiandae na moto kwa moto
 
Hata ww mbona hivyo hivyo,, usiweke boriti ndani ya jicho lako
 
Huyu dada mimi ninemkubali... Hata ukimtolea maneno ya shobo, hio haimuondolei ushujaa wake wa kuwatia watu jambajamba!
Kajitia jambajamba mwenyewe. mimi nawashangaa wananyumbu hivi kweli kama alikuwa anampango wa maandamano kwanini apige tarumbeta nyuma ya keyboad? angepanga mipango kimyakimya watanzania tukashitukia wito wa masaa mawili tuu ya maandamano. Then kwann apange kipindi anachojua fika ni siku maalum ambayo majeshi yetu ya ulinzi na usalama yapo kwenye maandalizi ya muungano? alafu anakuja na slogan eti majeshi yapo maandalizi ya kupambana na maandamano. Huu ni ujinga wa hali ya juu ambao hauitaji elimu ya chuo kikuu ili kubaini na kujua kalenda ya matukio ya kitaifa, shenzi kabisa wote mmnao mfagilia mwanamke eti damange kasema duuh kweli mwezi umeandama msimu wa kuvuka mto umefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…