Mange Kimambi na Maria Sarungi wamehusika kuhujumu maandamano

Narudia tena, punguza kiherere, maana hata watu wakitekwa huna msaada zaidi ya kuweka riwaya zisizo na mashiko. Tumeshaumizwa vya kutosha, tunataka hiyo dunia ijue tulizibwa muda mrefu bila wao kusaidia lolote.

1. Unatoa kibanzi kwa mwenzako wakati wewe unacho.
Unalaumu serikali haitaki kukosolewa na inapangia watu cha kusema. Alafu wewe unafanya jambo lile lile kwangu na huna mamlaka yoyote.

2. Watu kutekwa na kuuawa wanafanyiwa na watu aina yako msiotaka mawazo kinzani. Sema wewe huna mamlaka tuu.

3. Huwezi ona msaada wangu kwa kuwa unatumia ID bandia.
Ila mara nyingi sana nimekosoa watekaji, wauaji na watu aina yako msiopenda kukubali maoni ya watu wengine.

Nikujulishe tuu, sisi wengine tunatetea Haki, na ukweli.

Pole kama umeumizwa na dhulma ila ondoa mtazamo ulionao kama unahitaji haki yako.
Usitake kila mtu awe upande wako. Ila jitahidi kuangalia haki na kweli viwe upande wako. Huo ndio utibeli
 
UJUAJI MWINGI KUMBE MPUMBAVU TU
 
Hivi kuna watu kabisa na akili zao timamu wanaona Mange ndio mwokozi wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…