Mange Kimambi na wadada wa mjini ni shida

Mhh kwani shamim kasoma moro sec au forest? Sasa hivi ata waliompokea mjini anawaona pusi tu.

Alisoma Morosec o-level from 1993-1996. Angesoma Forest ingekuwa balaa zaidi mana enzi hzo Forest ilikuwa ya watoto wakishua.
 
OK siku zote najua kasoma forest coz ni best ya masista zangu ambao wamesoma forest miaka hiyo hiyo. Nawaskiaga tu na story zao za rock garden sijui shimoni.
 
Kumbe matumbo mtoto wa kishua eeee.
 
Last edited by a moderator:
Shamim ni sista angu flani kiukweli amezidi kupenda umjini na hashauriki. Hope wewe ni mtoto wa Patel.

Aaaahh mimi mtoto wa Mananga tulikuwa nae sana huyo dada Umiseta na mishe mishe ya ule mji si unaujua lazima mjuane
 
Bora kamwambia ukweli mtupu. Kazidi naye aisee mweeeh. Ana wa let down fans wake hvi hata huyo mume atakaye kuja muoa kwa style hyo inabidi awe naye msanii.

Halafu hiyo picha kapiga yeye na kuituma tuone, hapo sasa
 
Aaaahh mimi mtoto wa Mananga tulikuwa nae sana huyo dada Umiseta na mishe mishe ya ule mji si unaujua lazima mjuane

Na Shamim anavyopenda shughuli simpatii picha enzi hizo na kina mercy. Yaani huyu dadangu anavyosumbua watu siku hizi mhh nasomaga nacheka tu.
 
Yaani nakumbuka enzi zake z Bungo Primary School pale morogoro. Alikuwa very mpole Shamimu. Akaenda Morosec ndo akaanza janjatukiaa pale. Now kawa dada wa mjini duuuh mjini kutamuu[/QUOT

Daaahh alikuwa disminder flan hv, hakuwa na rafik wa kudum, ila hizo chili chili alikuwa nazo kitambo c unajua alikuwa kivyake vyake watu hawakuwa wanamwangalia sana.
 
Na Shamim anavyopenda shughuli simpatii picha enzi hizo na kina mercy. Yaani huyu dadangu anavyosumbua watu siku hizi mhh nasomaga nacheka tu.

Aaahhh unamjua mpk huyo bint lohhh, Alafu jina umelikosea kidogo, Daaahhh na plz usifanye marekebisho maana ss hv mtu mkubwa huyo anaongoza watu teh teh kaz kweli kweli
 
OK siku zote najua kasoma forest coz ni best ya masista zangu ambao wamesoma forest miaka hiyo hiyo. Nawaskiaga tu na story zao za rock garden sijui shimoni.

Usipime wkt huo darasa looote wanajaa watoto wa vigogo ukinchokoza mtu tuuu unafuatwa na kigofu sintakaa nisahau, lile seke seke la mtoto wa mjeda na mtt wa kidogo wa airport fuul central, alafu Akasema nimewasamehe cc uwiiiiiiii jaman achane tuuu
 
Aaahhh unamjua mpk huyo bint lohhh, Alafu jina umelikosea kidogo, Daaahhh na plz usifanye marekebisho maana ss hv mtu mkubwa huyo anaongoza watu teh teh kaz kweli kweli

Teh teh teh sista zangu hao bana ngojea tuishie hapa maana watu awakawii kuunganisha dots.
 
Yaaahh c unajua ile nyumba nayo yaliyomo yamo,, km ulikuwa unakaa pale daahh nilikuwa nakaa mbele kidogo ya hao watu, matumbo weee Asante ID fakero
 
Last edited by a moderator:
Nifa nn bana mbona mchokoz tukiomba utuunge unakata looh

Hahaha anakataa kukuunga group lao la ubuyu? Hajui watu tukianza kumwaga ubuyu wa hao shost zake mange uturn yote itakimbilia jf mange atakosa wateja.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha anakataa kukuunga group lao la ubuyu? Hajui watu tukianza kumwaga ubuyu wa hao shost zake mange uturn yote itakimbilia jf mange atakosa wateja.

nifah hapa ananiasesi km nafanya QMs vile, kuna dongo lake moja kanipiga nalo sehem mm nimepita kimya,Angejua mm ni msomaji tuu sinaga mda wa kuchangia maana bize km nimeuwa mzungu haaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom