Mange Kimambi na wadada wa mjini ni shida

Mange Kimambi na wadada wa mjini ni shida

Hivi flora lyimo huwa anamuitaje huyu mange k........
 
watajuana wenyewe,,mi mama mizima badala ya kukoncetrate na watoto ,waume zao,kazi kuwa na marafiki msululu umbeya na majungu tu,mbayaaaaaaaaa,mfyuuuuuuuu
 
Wameyataka wenyewe kutafuta umaarufu tu haya mambo hadharani jamani mjjni kazi
 
Kasoma moro sec na mkwawa
And i think she was bright in class nimekumbuka mbali saana. Hata hzo sifa Mange anampa Mwamvita kuwa si mchoyo wa pesaa kwa rafiki zake ni kweli. Nilisoma na Mwamvita Bungo P/ S kipindi Makamba RC wa Morogoro, shoga zake walikuwa wanaenjoy saana, yule dada ana roho ya kutoa aisee nadhani ndo maana Mungu anampa.
 
nifah hapa ananiasesi km nafanya QMs vile, kuna dongo lake moja kanipiga nalo sehem mm nimepita kimya,Angejua mm ni msomaji tuu sinaga mda wa kuchangia maana bize km nimeuwa mzungu haaaa

Hahahahahaa, ni utani tu bwana.Usinichukulie serious kila wakati.
Ngoja nikakuadd dear
 
Last edited by a moderator:
Hahaha anakataa kukuunga group lao la ubuyu? Hajui watu tukianza kumwaga ubuyu wa hao shost zake mange uturn yote itakimbilia jf mange atakosa wateja.

Wala sijakataa jamani, ni utani tu.Wewe nae una ubuyu tatizo ndio hivyo huonekanagi!
 
watajuana wenyewe,,mi mama mizima badala ya kukoncetrate na watoto ,waume zao,kazi kuwa na marafiki msululu umbeya na majungu tu,mbayaaaaaaaaa,mfyuuuuuuuu

Mafiii yao.
 
Msukule umefufuka….Hivi huyu mtu kumbe bado yuko hai jamani….Sikujua…. Mai mi na wewe tunaheshimiana so ntaongea na wewe kistaarabu… Mai hivi kwanini usiact your age? eeeh? Mbona enzi zako zishaaisha jamani? si ujizeekee kwa amani tu nini unachomtafuta Wema lakini ? kakukosea nini huyu unamdhalilisha hivi huko instagram? eeeh? Mai kama unatafuta pakufia kamfie mtu mwingine sio Wema. usijemletea lawama bureeee… Jamani, mbona wewe ulikula maisha, ulifanya yooote ukayamaliza kwa raha zako, ulifanya madudu yote enzi za ujana wako si umuache na wema ale ujana wake? unachomfatia fatia nini? yani hapo unatafuta followers ulivyo huna aibu jamani…. Embu jiheshimu Mai lakini? Kwa age yako bora utuchokoze vizee wenzio kina Mnage, vitoto kama Wema unajichoresha Mtu ushazaaa, unajuwa uchungu wa mtoto kisha kutwa kumchokonoa last born wa mama sepetu…. Alafu kutwa kujifanya mie sijalelewa hivyo kutaja majina ya afamilia yenu eti huyu anafanya kazi hii , wooote ndugu uliowataja choka mbaya, hivi unaweza kufananisha family yako na sepetus??? plssss,Na ungekuwa umelelewa familia ya kistaarabu usingekuwa unamtafuta ugomvi mtoto mdogo kama Wema.. Unachomdhalilishia ni nini? au kuna kitu sie hatukijui Wema alikukosea? au labda mna ugomvi wenu embu tuambie? kha!! jiheshimuuuuuu,,….. jione ulivyo mrembo, warembo hawana tabia hizi Mai,uzuri wako na tabia zako hazivafanani mai… Embu acha lakini.. Kama ni folliwers utapata huna haja ya kumdhalilisha Wema…. Mie mweneywe na udaku wangu picha za Zari zileee,nilishindwa kurusha humu wewe uanwezaje lakini Mai…. Mai ushayachoka maisha na maisha yenyewe yamekuchoka sasa kafie pengine ,sio kwa Wema….. Najua utanichamba mpaka maana wewe kwa maneno sikuwezi, ila message delivered Hivi huyu mtoto mpaka siku ajiue ndo mtaona raha? eeh jamani, sawa kuna mafake profile yakutmtukana sasa mpaka real profile kweli muanze kumdhalilisha, is it fair lakini??? Eti ndo alirusha hiii picha, nimeifuta maana sioni sababu ya kuzidi kuisambaza… Wema na wewe unaboa kishenziiii, hujui tu… Unaboaaaaaaaa.. Hujui thamani yakoooooooo, umenishinda tabia wema. Hivi vivulana vichafu vichafu vya nini we mtoto jamani? Hivi huwezi kudate na watu vijana wa mahita, au wa Lowassa (hahahahahahhahahahaha,nna utani jamani ) you get my drift. hivi wewe ni wa kutoka na ex wa Lina ? Huoni ssa Lina anavyotafuta kick kwenye maredio? anakutumia sasa kuongeza umaarafu, kujifanya mjane mfyuuu, hujioni unajishushia heshima for nothing… Huyo kaka hapo anakutia shombo kama tuuuu. Kwanini wewe ndo kila siku uwe na wanaume maskini maskini uwangarishe then waanze kukusumbua? Wa nini? kwanini wewe usiwe yule anaewapata wakishazipata,waishang’aaa ule bata tu???? Wema jamani, acha kutoka na hawa ushuziiiii , nachukiiiaaaaa mimi. Ona sasa unavyojitukanisha ovyo. Sasa sibora ungemkubali Ivan angalau unapata aibu huku unapata matunzo ya kukupunguzia mawazo, tungempelekeka jando fasta basi,sasa hapa unapata aibu na shingi kumi hupati ,full shomboooooo… Unaboaaaaaaaaaa,, Hujajijua thamani yako Wema,,,,,, Ulivyo na body # 8 we mtoto, mpaka naona hasira huyo kajamba nani yuko ndani ya shuka na mwili wako… KHA!! Mie dadako tu nishatema toto 3 huyo kaka hanigusii itakuwa wewe mtoto mbichiiii, pls pls Wema… Unaboa sanaa Nimechukia sana leo… Unauzi Wema, Mungu alikuepusha na kina Aunty ila umerudi tena pale pale……mmmh…….. Lina shut your yarp…… Utarudishiwa kibwana chako wiki hii hii,,,, hakuna anaemtaka. Huyu anaku deserve wewe sio Wema Sepetu. Unaskia?? So stop ma inteview ya kijinga jinga,huoni haya eti imekuuma ,unajidhalilisha. Si umpotezee tu, mwenyewe unadhani unamdhalilisha Wema kumbe na wewe mwenyewe unajidhalili kuongea na maradio… Ila usikose usingizi Lina hii kazi niachie mimi, huyu jamaaa wiki hii anarudi home, tena mfunge kamba asije kutoroka, anamtia shombo Wema… Yani huyu ni class yako wewe sio class ya Wema Sepetu….. Na anarudi kwako this weeek…. so untill then shut your yarp…. PS: STAKI MESSAGE ZA KUMTUKANA WEMA SAWA? KAMA HUNA USHARI WA KIISTARABU KAJAMBE MBELE……DADAKE NISHAMTUKANA VYA KUTOSHA…. GNITE NAENDA LALA SASA
 
Mi nakumbuka tu linah alivyokua analalamika eti I'm hurted, hahahah ahaha
 
Mi simtetei Shamim, ila naomba niseme ukweli, Shamim bado yuko poa tena poa sana tuu, anajiheshimu sana yule dada.Wanawake wote ni wambea one way or another lol so kama ana umbea unafiki wa kichinichini kimpango wake, mradi mbele ya watu anajiheshimu.Tofauti na hiki choo kibovu (Mange) hajui kujiheshimu yaaani utadhania alijizaa akajilea? hivi kwao hamna wakubwa wamuonye? yule mamake wa kufikia Mwele aliyekuwa hawara wa babake, mbona hamuonyi huyu mwanamke? daaah, Shamim nadhani kinachomfanya abadilike kiasi flani ni watu walipomzunguka, shughuli zake za sikuhizi, kuolewa na watu wenye majina,kuendesha gari hahahaaha lol n.k lakini pembeni ya hivyo Shamim bado nikicompare na watu wengine bado yuko down to earth sana tuuuu.Kuna watu wanajua kubadilika jamani aaaaaah wananata utadhania hawanyiii, pyeeeeeee
Wewe ni shamim! Bisha kataa!
 
Mama.weee! leo amechanwa hadi Wema??!Mange we kiboko!utani wakati tayari umeshamchana mtu hadharani?
 
Mh jamani kusema ukweli shamim anatakiwa abadilke watu wanamlaamlamkkia Sana kuhusu hzo nyodo and by the way mumewe nasikia ni tajiri Sana anafanya wap
 
Kumbe mjini kutamu hivi? Shamba sirudi ng'ooo

ahahaa endelea tu kukaa shamba uvune mazao,mjini tunavuna umbea tena wa bureee,ukiukosa JF basi nenda kwa binti manongi au kwa mange,ukimalizia Instagram umeshiba.
 
Mi simtetei Shamim, ila naomba niseme ukweli, Shamim bado yuko poa tena poa sana tuu, anajiheshimu sana yule dada.Wanawake wote ni wambea one way or another lol so kama ana umbea unafiki wa kichinichini kimpango wake, mradi mbele ya watu anajiheshimu.Tofauti na hiki choo kibovu (Mange) hajui kujiheshimu yaaani utadhania alijizaa akajilea? hivi kwao hamna wakubwa wamuonye? yule mamake wa kufikia Mwele aliyekuwa hawara wa babake, mbona hamuonyi huyu mwanamke? daaah, Shamim nadhani kinachomfanya abadilike kiasi flani ni watu walipomzunguka, shughuli zake za sikuhizi, kuolewa na watu wenye majina,kuendesha gari hahahaaha lol n.k lakini pembeni ya hivyo Shamim bado nikicompare na watu wengine bado yuko down to earth sana tuuuu.Kuna watu wanajua kubadilika jamani aaaaaah wananata utadhania hawanyiii, pyeeeeeee
Wewe kwendraa kule shamimu kaolewa na mtu mwenye jina?jina gani Muuza sembe,Shamimu alimuacha mme wake wa kwanza ili akaolewe na mtu mwenye pesa nyingi,soo sad maana pesa zenyewe ni za kuuza powder.Shamimu yaani atatafuta jina kwa nguvu,ndo kujipendekeza kwa wenye nazo,ndo maana kamualika KYLIN kwenye hiyo tea party,KLYN kapotezea maana ni aibu kuwa associated na wake za wauza sembe,pole maana shamimu ni mtafuta jina tu hapa mjini,huku wanae wakivaa masempele tu halafu tutoto tupo lafu lafu tu,mama kutwa kwenye ma party
 
Back
Top Bottom