Exactly my point...
Ukiwa unashindwana na marafiki kila siku na kubadilisha marafiki its either you have a bad taste in friends, so you keep on making bad choices now and then and you get too emotionally attached.
Putting them ahead of your family and happiness (a friend addict), au wewe mwenyewe ni rafiki mbaya, sio wa kuaminiwa wala u dont deserve unavovitegemea kutoka kwao simply because u aint worth it.
Mi nina marafiki minimal sana.Na nilio soma nao na kukua nao udogoni.Huku ukubwani lazima uwe cautious na ni lazima uwe urafiki wa sababu, mostly kazi.
Na lazima ujue mambo huwa yanabadilika urafiki unapungua au kuongezeka., pia kupishana ni jambo la kawaida sana.
Sasa kutaka mirafiki rundooo, ya kuambatana nayo na kumantain status kama watoto wadogo ndio shida.