Mange Kimambi na wadada wa mjini ni shida

Ha ha ha anapoelekea kwenye sembe na siasa ndo haya yanaweza kumkuta

mumewe angekuwa anajua kiswahili asingeweza kuishi na pasua kichwa kama huyu..sasa hapo tu anajiita msomi angekuwa ajaenda shule kabisa angekuwaje?ananikera sana huyu dada.
 
mumewe angekuwa anajua kiswahili asingeweza kuishi na pasua kichwa kama huyu..sasa hapo tu anajiita msomi angekuwa ajaenda shule kabisa angekuwaje?ananikera sana huyu dada.

nyie hamjui mahaba niue
 
una uhakika hao uliowataja hawana marafiki? Mi nimeendelea sipo nilipokuwa ila bado sijafika ninapotaka na marafiki ninao.

Hata mm naona km ulikuwa unatumi cm ya tochi na sas unatumia Samsung nayo unaita maendeleo. Nimesalimu amri
 
Hata mm naona km ulikuwa unatumi cm ya tochi na sas unatumia Samsung nayo unaita maendeleo. Nimesalimu amri

Huoni kama ni maendeleo? Ningekuwa nimeshindwa kuendelea kumiliki hata hiyo ya tochi ningejitafakari, wote hatuwezi kuwa kama Mengi wala Oprah, any way maisha kila mtu ana yake style ya kuishi unachagua mwenyewe, siku njema.
 
Kuwa na marafiki sio jambo baya.
Ubaya unakuja jinsi mlivokua mnajiweka na mnayoyafanya na kuyaongea kwenye urafiki wenu.
Alafu kwanini uambatane na rafiki muda wote?
Kwanini umwambie mambo yako yote.Sio vizuri kuwa emotionally dependant kiasi iko unakuwa easily hurt and dissapointed.
'Mwanaume haibwi bwana, mwanaume sio mzigo'
 
mumewe angekuwa anajua kiswahili asingeweza kuishi na pasua kichwa kama huyu..sasa hapo tu anajiita msomi angekuwa ajaenda shule kabisa angekuwaje?ananikera sana huyu dada.

Ha ha ha aiseee umenichekesha.....unaelekea unakerwa sana na huyu bibie
 
devil at work!
 
Hakuna tatizo kuwa na rafiki kuna tatizo katika tabia mlizonazo, (nioneshe rafiki zako nikuambie tabia yako).

Exactly my point...
Ukiwa unashindwana na marafiki kila siku na kubadilisha marafiki its either you have a bad taste in friends, so you keep on making bad choices now and then and you get too emotionally attached.
Putting them ahead of your family and happiness (a friend addict), au wewe mwenyewe ni rafiki mbaya, sio wa kuaminiwa wala u dont deserve unavovitegemea kutoka kwao simply because u aint worth it.
Mi nina marafiki minimal sana.Na nilio soma nao na kukua nao udogoni.Huku ukubwani lazima uwe cautious na ni lazima uwe urafiki wa sababu, mostly kazi.
Na lazima ujue mambo huwa yanabadilika urafiki unapungua au kuongezeka., pia kupishana ni jambo la kawaida sana.
Sasa kutaka mirafiki rundooo, ya kuambatana nayo na kumantain status kama watoto wadogo ndio shida.
 
una uhakika hao uliowataja hawana marafiki? Mi nimeendelea sipo nilipokuwa ila bado sijafika ninapotaka na marafiki ninao.

Opra ana best friend zake wawili anaendaga nao hadi vacation peke yao kula maraha huko maparis na venice.
Kama wao wameshindwa kukaa na marafiki kwa sababu ya wivu, njaa na husda na midomo yao wasitake kufanya urafiki na dhana yake kiujumla ni mbaya.
 
Hata mm naona km ulikuwa unatumi cm ya tochi na sas unatumia Samsung nayo unaita maendeleo. Nimesalimu amri

Acha dharau.
Hata simu ya mchina ni simu.Kwa taarifa yako china wanatengeneza hadi simu za kuweza kucompete na mataifa makubwa kama ujerumani na uingereza au marekani katika technolojia.
Zinazokuja huku ni special kwa ajili ya third word.
 
Hapo umeongea!haiwezekani watu wazima waongozane kama watoto wadogo na kushare vitu vya kiajabu ajabu,na ili urafiki udumu basi lazima marafiki MUKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA,wengi wanashindwa sana hapa.

Ubinafsi na umiliki+ kutokubali kujishusha yanaathiri mahusiano ya kirafiki kwa sana tu.
 
Hapo chacha!
Mnasuka nywele sare, mnavaa sare, mnaonana pasipo na ulazima na kuambatana kama swala au kumbi kumbi kwa mafungu tu.
Unamwambia rafiki kila kituuu wala huweki akiba ya maneno!
Mnawaongelea na kuwateta sana watu wengine ila nyie mkitetwa mnalia!
Lazima mtagombana tu, hapo mtaanza kutamaniana maisha na kuoneana wivu.
Yani ukiingizia njaa na ubinafsi ndio kabisaa!
Sasa mimama mizima inapigana vikumbo kumgombea Mwamvita Makamba kisa pesa?
Watakuwa walikuwa wanaswagana hawa sio buree
 
Hapo shida ipo tena sio kidogo,mi urafiki wa hivyo hapana kwa kweli,ila Mange alipomchana Wema ndio nimejua huyu dada Kirusi!!anamuitaga mdogo wake halafu hapo hapo unamdhalilisha,kama angekuwa Mkubwa angempigia simu au wangeongea Private wakamalizana,ila hichi alichokifanya ni kutaka sifa tu.
 
Nadhani huwa anapitia JF,
Tuliposema huwa hamsemi Wema basi ndo kafanya kweli.
Kwa iyo tukimwambia aweke uthibitisho kuwa ndoa yake bado ina exist anaweza akajirecord akiwa anadinywa.
 
Nadhani huwa anapitia JF,
Tuliposema huwa hamsemi Wema basi ndo kafanya kweli.
Kwa iyo tukimwambia aweke uthibitisho kuwa ndoa yake bado ina exist anaweza akajirecord akiwa anadinywa.

ahahaha Halmashauri ya kichwa chake haina ushirikiano na ubongo wa mbele,yule mzungu nae hajielewi tu.Angepata mzungu anayefatilia mkewe kwa karibu basi angesharudi bongo kitamboo!!sitaki kuamini kwamba tabia anazozionyesha kwenye mtandao wake zina utofauti wa 100% na maisha yake,mwanamke fulani hivi mshari mshari na anayejiona mkamilifu muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…