Jamani wote ni binadamu kila mtu na mapungufu yake.Nakuhakikishia hao kina Nacky, Mwammy, Kiki, Bimdo etc wana mapungufu yao na wanayajua, ila wamemua kubehave kama watu wazima.Wako pamoja wameshikama, wanaheshimiana.Tatizo Mange anataka kujifanya yeye perfect sana na kuwa eti yeye ndio ambaye alikuwa poa kuwapita wote.Sasa amekaa kangojea weeee wagombane anaona wenzake wanazidi kusonga mbele.Halafu hawa wadada wala sio kundi kubwa, mnaowaona wanaalikana kwenye mashughuli wala sio wote walio close kivileee, walio close sana ni wachache wachache tu. 3-4 hivi.Mange anakuwa mwili tu akili haikuwi, aligombana na Zenat aliyeenda kumlelea watoto atashindwa kugombana na hao wa mitaani? mwenyewe anaona hii post itazidi kuwagombanisha wenzake, duuuuu pole Mange k´FYI wenzio wale sikuhizi wana MWIKO hawafungui wala kuisoma hiyo blog yako chafu.Kuna bidada aliona umbea wa mtu akampigia amuulize, weeee alifurumushwa kuwa kama unaongelea kitu kutoka blog ya Mange stop right there, wala sitaki kujua.Mange tafuta mwanaume utulize akili.Alikuwa kakazana msitake kunikosanisha na Mwamvita, mimi na Mwamvita we are cool, wakati dalili zoote zinaonyesha Mwamvita hamtaki huyu Mange kabisaaaa.Sasa kangojea weeee akidhani Mwamvita atakosana na wengine arudiane naye yeye, akaona hakuna hope, ndio akaanza kuporomosha matusi kwa January in the name of siasa.Haya sasa January kesho ndio anatangaza nia Mlimani City hata asipochaguliwa na CCM but kwa imani yake na siasa zake kajitahidi kivyakevyake, na Mwamvita ndio keshatua Dar sasahivi insta ni anatuma mapicha kamkumbatia kaka yake, kaja kumsupport.Nadhani matusi aliyotukanwa January kwenye blog ya Mange yatakuwa yamemuuma sana Mwamvita hata kama hakuyasoma yote lazima kuna wafuasi wa january watakuwa walifikisha habari kadhaa.Nadhani Mwammy roho imemuuma mno anaona kama ushosti wake na yule bichau Mange ndio umesababisha hadi kaka yake anatukanwa matusi machafuuu.Mange kweli kuna radi mbaya sana itakuja kumpiga, yetu macho