Mange Kimambi ni Raia wa Tanzania au ashachukua uraia wa Marekani?

Haezi kuwa raia wa Marekani watamnyang'anya urithi wake wote wa Tz kwa hasira. Green card holder
Na hawaezi kumkamat akiwa Marekani maana marekani kisheria hafanyi kosa, only linchi lenu ndo kosa kumkosoa rais na wajinga wake
Tatizo huyo Mange Kimavi hakosoi bali anatukana na kudhalilisha watu, na kufarakanisha.
 
duuh ww uko nyuma ya taarifa.....kwa sasa mange ameshaachika na mama yake alishafariki miaka kadhaa iliyopita
Mange nae kashafulia now hana mpya ila watu hawajui tu siri tunazo ila nae tunamuhifadhi kwa kuwa hatuna kiki ya kumchana mimi huwa natafuta time ajipenyeze nipate hata follows 1k[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila anaishia kuniblock tu sasa namtafutia siku nimchane hadi kazi anayofanya huko USA na lini atakuja huku na lini atahitajika kurenew passport yake na ndio tanzania itakuwa imemkamata kubwa laa maadui wala wasipate kazi mange mpaka sasa anakalibia...................................gonga like tumchafue Mange na Bashite wake wote maana ndio chanzo cha umasikini kwa vijana wa kitanzania na chanzo imekua ni kila mtu kutaka kumfollow na kupata habari zake ambazo kila mtu anaweza kuzipata akiamua.....Mange huyu namjua kila sehemu hadi namba ya nyumba anayokaa pale IG kaweka fake Location maana nimeshakutana nae USA kama mara 4 hivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mange najua uko jf sasa na mimi naanzisha vita na wewe na bashite nitawatumbua
 
Kama theluji wakati wa joto, na mvua wakati wa mavuno kadhalika heshima haimpasi mpumbavu.

Katafute wa kukuzibua chemba mbele ya safari.
 
Freedom of expression
 
Wewe utakuwa MANGERAPPER maana si kwa kiki hii na hutotoka kamwe......puuuuLUNGS zako
 
Kumkosoa Sio kosa je kumtukana raisi marekani Pia Sio kosa?
Sio Kosa pia.... Katika Lugha ya kimarekani neno F****k ni kama vile kionjo tu. Neno hili unaweza kulitumia kwa namna tofauti, na ndio neno pekee unaloweza kuweka pahala popote kwenye sentensi na likaleta maana
 
Of coz siishi huko na hapavutii kujaribu kufikiria kupaishi! Nchi gani kila siku badala ya ahueni ndo inazidi kuwa icu ? Rais mkabila mpaka kwenye kope , sheria za kubana msiongee, zero brain ndo wanaongoza kibabe, who wants that?
Ww endelea kulipa kodi za wazungu huko...mpaka ukome ....ila pamoja na hayo ...jaribu kutukana watu huko uone kama hutochukuliwa hatua...na siku ukifa (japo hatuombei)....utazikwa kama beberu huko...hakutakuwa na wa kukulilia....ila wazungu wakiamua kukusafirisha kama parcel.....sisi kaka zako huku....bado tutakupokea kama mtu kwa majonzi vilio na simanzi...lkn pia tutakuhifadhi kwa heshima zote....usitukane wakunga na uzazi ungalipo....usidharau kwenu
 
Kama theluji wakati wa joto, na mvua wakati wa mavuno kadhalika heshima haimpasi mpumbavu.

Katafute wa kukuzibua chemba mbele ya safari.
Nipatie aliekuzibua yako nimlipe akuzibue tena upate akili.
 
Yada yada dot com, dua la kuku halimpati mwewe, maneno ya mkosaji, i dont give a middle finger up,
 
Yada yada dot com, dua la kuku halimpati mwewe, maneno ya mkosaji, i dont give a middle finger up,
.....your are warking for living ..and yet u think your are something else what a https://jamii.app/JFUserGuide!!!with respect..I deeply fill very sorry for u....
 
Mama yake alikuwa housegirl wa mzee kimambi, baada ya kupata mimba ya karumange alipotelea uzaramoni, aliyemshawishi mzee kimambi akamchukue karumange huko uzaramoni ni rafiki yake mzee Dimando.....alichukuliwa akiwa na miaka 12, baada ya hapo alisomeshwa huko zimbabwe, chuo alisoma online lakini alifeli......mama yake alikufa na hiv...mange hakuwa anamjali sana mama yake.....jina lake ni karumange
 
Am sorry
Green card n kitu gan na inampa mtu nguvu gan?
 
Sizibui chemba mkuu tafuta tu mwingine wa kumtunuku hilo shimo la taka

Narudia sentensi kilaza Uelewe naelewa huna akili inabidi turudie mara mia hadi uelewe neno moja,
ALIEKUZIBUA NIPO TAYARI KUMLIPA AKUZIBUE TENA UPATE AKILI! Seems umevurugikwa kwa bomba kuziba! Ikishindikana kuna dildo mitaani zikusaidie. Usisahau diapers za watu wazima jisev nazo pia.
Clown!
 
.....your are warking for living ..and yet u think your are something else what a ****!!!with respect..I deeply fill very sorry for u....
And what the f** is WArking? Go back to school!
Feeling sorry for me for what? Lmao!! Who are you? God who provides??? Get the hell out of my comment with your superfluous shitty povu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli we ni expert kwenye kuzibuliwa mtaro naona unashare experience. Sorry mkuu mi sizibui vyoo. Tena narudia mtafute mwingine wa kukuzibua hiyo chemba mimi situmii. Naona unatafuta pakutokea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli we ni expert kwenye kuzibuliwa mtaro naona unashare experience. Sorry mkuu mi sizibui vyoo. Tena narudia mtafute mwingine wa kukuzibua hiyo chemba mimi situmii. Naona unatafuta pakutokea.

What a Turd sandwich!!
Wasting my time na shoga.
Bye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…