Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Of coz siishi huko na hapavutii kujaribu kufikiria kupaishi! Nchi gani kila siku badala ya ahueni ndo inazidi kuwa icu ? Rais mkabila mpaka kwenye kope , sheria za kubana msiongee, zero brain ndo wanaongoza kibabe, who wants that?Unaposema linchi lenu as if huishi huku....